Msaada wa kisheria: Partnership kwenye biashara

Thing is hataki tutafute lawyer, he wants to do everything himself mimi ni sign tu... does it makes sense?

Biashara hipo registered?
Inalipa kOdi?

Suala lawyer nikipengele, mana mambo ya partnership kisheria inatakiwa biashara nayo iwe legal know kwenye mamlaka kadha wa kadha.

Tofauti na hapo inabidi muaminiani tu nyie kama nyie mtaani.
 
Humu kuna makanjanja wengi mno wa Sheria.

Tafuta ofisi za wakili akuandalie nyaraka pamoja na kukupa ushauri unaotakiwa.
 
Washauri uchwara wa mapenzi nao wametamalaki!

Sijui wana taaluma za mahaba hata sielewi! Too much nonsense!

Wewe fika ofisi za mawakili kila kitu kitaandaliwa na kitasajiliwa kwenye mamlaka zote za serikali.

You will be fine!!
 
Biashara hipo registered?
Inalipa kOdi?

Suala lawyer nikipengele, mana mambo ya partnership kisheria inatakiwa biashara nayo iwe legal know kwenye mamlaka kadha wa kadha.

Tofauti na hapo inabidi muaminiani tu nyie kama nyie mtaani.
No haipo registered wala silipi Tax. Does it mean that nikiamua kumzulumu he can't sure me?
 
No haipo registered wala silipi Tax. Does it mean that nikiamua kumzulumu he can't sure me?
Watch it now! Unaenda haraka sana.. 🙂

Register your business.. hilo litakulinda na mengi.. huo mkataba mnaotaka kuingia utakuwa kati ya mtu na mtu..!?

Kama huwezi kuregister kampuni basi hata business name.. na kodi ulipe bwana.. namna gani tena.
 
Approach yako ya advice ni nzuri mno lakini huyu dada anakusikia?
Bro umekomaa siskii. Najua hapo ulipo una hasira unatamani uje personally mpaka nilipo unitoe. Trust me I'll make the best decision
 
Nailipiaje kodi online store? Enlighten me
 
No I can't share it. I shared it with one person huyo anataka kunipindua.
 
Nailipiaje kodi online store? Enlighten me
Ukishasajili biashara/kampuni yako unaenda TRA unapewa namba ya mlipa kodi na mashine ya EFD kama kawaida ... Unakuwa unawasilisha mahesabu yako kama wengine wenye maduka physical.

Faida yake unapanua wigo wa kutrade.. formal businesses zinaweza kuanza kukutumia maana unakuwa unaaminika zaidi.. na huwa wanataka supporting documents.. kama Legal Receipts ambazo baadae wanaweza kuzitumia kwenye Tax claims nk.

First thing first.. Sajili biashara yako, Na Pata Leseni ..ili iendeshe biashara kisheria.
 
Huyo jamaa itakuwa umekula hela yake sana, na kila mmoja anajiona ana upper hand kwa mwenzake. Sasa mnachanganya hisia za mapenzi na maamuzi ya kibiashara yanayohitaji logic na utulivu wa akili. Yaani mahusiano yenu ni vururu vururu tu.

Mnacheza mchezo hatari. Angalieni siku msije mkachomana visu tu.
 
Hapo kuna grammar gani kama na wewe siyo kenge broken hiyo, unaleta udwanzi aandike lugha rahisi kwake siyo kujitutumua na asichokijua au aonekane ni msomi kuliko wengine? Usinifundishe lugha ndiyo ninayotumia huku niliko
Kujifunza hakuna mwisho bro, kabla hujamchalenji mtu kidharau, pitia grammar kwanza.
 
Bro umekomaa siskii. Najua hapo ulipo una hasira unatamani uje personally mpaka nilipo unitoe. Trust me I'll make the best decision
Kama umesikia ni vizuri.dada hawa woote wameacha shughuli zao wanakushauri nakuomba isikilize sauti yako ya ndani kabisa kila mtu anayo sauti hiyo huwa inamuambia kitu fulani,isikilize hiyo sauti.Kama jamaa unataka kumpa papa mpe lakini biashara kuwa serious nayo asiingie.Hatuwaonei wivu hata kidogo utakuja kuomba ushauri ukishapoteza hata hiyo biashara ndogo uliyonayo nitapigwa ban ya maisha maana nitatukana sana humu.Nakuomba sikia dada nakuomba pliz.
 
Hapo kuna grammar gani kama na wewe siyo kenge broken hiyo, unaleta udwanzi aandike lugha rahisi kwake siyo kujitutumua na asichokijua au aonekane ni msomi kuliko wengine? Usinifundishe lugha ndiyo ninayotumia huku niliko

Kutoenda kwako shule unatakiwa uwalaumu ambao walitakiwa kukupeleka na hawakufanya hivyo. Kama ulitoroka mwenyewe jilaumu wewe mwenyewe.
 
nimejaribu kuongea nae ndo kanijibu hivyo. Kuna usalama kweli hapa.

Sms zinaonyesha mtu na mpenzi Wake sio Partners to be. Then Kwanini mnapenda KINGE huku kinaleta kutokuelewana.

Wewe dada utakuja kulia. Heri ukope Bank na biashara iwe yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…