Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
Umeanza 🙂Mbona siwaelewi kwenye hii lugha nashindwa nianzie wapi?
Kutaka Kuvuruga Krisimasi 😀 nabiashara yangu
Mimi Nauza Ushauri Mkuu.
Mauki in the making
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza 🙂Mbona siwaelewi kwenye hii lugha nashindwa nianzie wapi?
Thing is hataki tutafute lawyer, he wants to do everything himself mimi ni sign tu... does it makes sense?
Umeanza 🙂
Kutaka Kuvuruga Krisimasi 😀 nabiashara yangu
Mimi Nauza Ushauri Mkuu.
Mauki in the making
That's my take.
No haipo registered wala silipi Tax. Does it mean that nikiamua kumzulumu he can't sure me?Biashara hipo registered?
Inalipa kOdi?
Suala lawyer nikipengele, mana mambo ya partnership kisheria inatakiwa biashara nayo iwe legal know kwenye mamlaka kadha wa kadha.
Tofauti na hapo inabidi muaminiani tu nyie kama nyie mtaani.
Watch it now! Unaenda haraka sana.. 🙂No haipo registered wala silipi Tax. Does it mean that nikiamua kumzulumu he can't sure me?
Bro umekomaa siskii. Najua hapo ulipo una hasira unatamani uje personally mpaka nilipo unitoe. Trust me I'll make the best decisionApproach yako ya advice ni nzuri mno lakini huyu dada anakusikia?
Dah Mnachat kikristonimejaribu kuongea nae ndo kanijibu hivyo. Kuna usalama kweli hapa.
Nailipiaje kodi online store? Enlighten meWatch it now! Unaenda haraka sana.. 🙂
Register your business.. hilo litakulinda na mengi.. huo mkataba mnaotaka kuingia utakuwa kati ya mtu na mtu..!?
Kama huwezi kuregister kampuni basi hata business name.. na kodi ulipe bwana.. namna gani tena.
No I can't share it. I shared it with one person huyo anataka kunipindua.Fanya hivi....
Ulikosea kwenye mazungumzo ya awali...
Ingekuwa mimi tungefanya hivi.... biashara ingeendeshwa kama kampuni.
Faida tunaitafuta baada ya gharama zote za uendeshaji. Sasa hapo kwenye gharama za uendeshaji kuna mishahara ya wafanyakazi.
Ningejipa cheo cha CEO wa kampuni....ningejilipa mshahara kama mfanyakazi.
Baada ya hapo ndiyo tunaongea masuala ya profi baada ya kulipwa mshahara wangu kama CEO...sajili biashara.
Would you mind to share what kind of business is that???????
Ukishasajili biashara/kampuni yako unaenda TRA unapewa namba ya mlipa kodi na mashine ya EFD kama kawaida ... Unakuwa unawasilisha mahesabu yako kama wengine wenye maduka physical.Nailipiaje kodi online store? Enlighten me
No I can't share it. I shared it with one person huyo anataka kunipindua.
Ni siku Ya Krisimasi bwana.. Kikristo Kinatamalaki 🙂Dah Mnachat kikristo
Kujifunza hakuna mwisho bro, kabla hujamchalenji mtu kidharau, pitia grammar kwanza.
Kama umesikia ni vizuri.dada hawa woote wameacha shughuli zao wanakushauri nakuomba isikilize sauti yako ya ndani kabisa kila mtu anayo sauti hiyo huwa inamuambia kitu fulani,isikilize hiyo sauti.Kama jamaa unataka kumpa papa mpe lakini biashara kuwa serious nayo asiingie.Hatuwaonei wivu hata kidogo utakuja kuomba ushauri ukishapoteza hata hiyo biashara ndogo uliyonayo nitapigwa ban ya maisha maana nitatukana sana humu.Nakuomba sikia dada nakuomba pliz.Bro umekomaa siskii. Najua hapo ulipo una hasira unatamani uje personally mpaka nilipo unitoe. Trust me I'll make the best decision
Hapo kuna grammar gani kama na wewe siyo kenge broken hiyo, unaleta udwanzi aandike lugha rahisi kwake siyo kujitutumua na asichokijua au aonekane ni msomi kuliko wengine? Usinifundishe lugha ndiyo ninayotumia huku niliko
nimejaribu kuongea nae ndo kanijibu hivyo. Kuna usalama kweli hapa.