Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
No haipo registered wala silipi Tax. Does it mean that nikiamua kumzulumu he can't sue me?
Mpaka sasa yeye ndo ana sauti zaidi. Whatever I tell him hataki he has got his own plan.
He was controlling and manipulative ndo maana tuliachana actually nilimuacha.!
you are right, idea ndo kila kitu. Imagine umeenda kuishi nchi ambayo hakuna viazi mbatata, kila anaehitaji viazi mbatata lazma afanye importation mwenyewe au mtu atakaeamua kuleta viazi mbatata ndani ya nchi hiyo anauza at a ridiculously high price. Okay wewe ukaona hilo mbona dogo. Ukaanza ku import wewe mwenyewe then ukawa unauza at a resonable price hadi wateja wakipiga mahesabu ya transport na other charges anaona ni bora anunue tu kwako. Since you've been doing it for over a year So una advantage kubwa 1. Umetengeza customer base teyar 2. Little or no competition ( wanaouza viazi ni wachache na hao wachache wanauza bei ya juu zaidi yako so all customers come to you.).
Jamaa anajua its a good business, ina returns kubwa. Lakini yeye kama yeye hawezi kuifanya bila mimi because 1. Haijui hii biashara how it's done, where I get the goods. 2. Hana access ya customers at all. Hata alete viazi yeye hatojua kwa kuwatoa hao watu. Hizo ndo sababu ananihitaji mimi. Lakini ameona 1. Nna udhaifu kwake he's trying to control me na anavyosema we'll see when you comes or we'll talk when you come hapo hamna cha kuongea he knows he can easily manupulate me akiwa karibu na mimi.
No I can't share it. I shared it with one person huyo anataka kunipindua.
Noted.Ukishasajili biashara/kampuni yako unaenda TRA unapewa namba ya mlipa kodi na mashine ya EFD kama kawaida ... Unakuwa unawasilisha mahesabu yako kama wengine wenye maduka physical.
Faida yake unapanua wigo wa kutrade.. formal businesses zinaweza kuanza kukutumia maana unakuwa unaaminika zaidi.. na huwa wanataka supporting documents.. kama Legal Receipts ambazo baadae wanaweza kuzitumia kwenye Tax claims nk.
First thing first.. Sajili biashara yako, Na Pata Leseni ..ili iendeshe biashara kisheria.
Kodi ya nini? Mbona una haraka na kila kituNailipiaje kodi online store? Enlighten me
Broo ni swali aliulizwa na yy ndo akamhoji muuliza swali!Kodi ya nini? Mbona una haraka na kila kitu
Broo ni swali aliulizwa na yy ndo akamhoji muuliza swali!
Hebu kumbuka bhana.Kuhusu hili acha nikae kimya, sitaki kukumbuka.
Ila kuwa makini dear.
Haya ngoja nikatafute dragons wengine kama watatu tuwekeze. Nakuoataje ili nipewe insight into the business na financial reports tuzione?I like this. Nichangieni basi
Good.I remember I watched a movie about the guy who started Macdonalds and the way he eventually lost it to Investors.
25% ROI ni nzuri . Thing is I knew nothing about partnership n business laws. I was thinking I need money to grow my business but sikufikiria upande wa pili. Ahsanteni kwa kunifungua macho
ahsante kwa mchango wako. Number 1-3 vipo wazi. Number 4 ndo nikijaribu kulileta mezani anasema yeye anataka faida ya 50% regardless. He even suggested kama he can invest more money ili tu apate faida ya 50%.
hatuna makubaliano yoyote ya kimaandishi although pesa ameshanikabidhi lakini bado sijaiingizw kwenye biashara. Deed of partnership amesema he will come up with it.
he's a smart man na pia ana tumia udhaifu wangu in his advantage. Akiongelea biashara anaingiza na story za kuzaa pamoja etc [emoji23][emoji23] sijui we are going to be partners for life wakati ana girlfriend. I know he's saying all this to destruct me. I don't want to say no his offer cause hela naitaka pia lkn pia I want to secure my business and my future. Naamini hii biashara itakua kubwa sana na yeye ameliona hilo ndo mana he wants in.
Hii kenge imetokea wapi tena???Hapo kuna grammar gani kama na wewe siyo kenge broken hiyo, unaleta udwanzi aandike lugha rahisi kwake siyo kujitutumua na asichokijua au aonekane ni msomi kuliko wengine? Usinifundishe lugha ndiyo ninayotumia huku niliko
Naona tu anaingilia posts za watu na kujifanya mzungu Bora. Eti huku ninakoishi 🤣🤣🤣🤣Watu tumevurugwa na hii mitano mkuu.
Na bado sana.
Naona tu anaingilia posts za watu na kujifanya mzungu Bora. Eti huku ninakoishi 🤣🤣🤣🤣
It does not. Nadhani kuna kitu anakitafuta, labda kurejesha mtaji wake kama alikupaga kianzio hapo mwanzo.Maana inaonyesha ni ex wako.Thing is hataki tutafute lawyer, he wants to do everything himself mimi ni sign tu... does it makes sense?
We huoni ashaanza kutaka elezewa namna ya kulipia kodi online store?Broo ni swali aliulizwa na yy ndo akamhoji muuliza swali!
Shida iko Wap?We huoni ashaanza kutaka elezewa namna ya kulipia kodi online store?