Mpaka sasa yeye ndo ana sauti zaidi. Whatever I tell him hataki he has got his own plan.
He was controlling and manipulative ndo maana tuliachana actually nilimuacha.!
you are right, idea ndo kila kitu. Imagine umeenda kuishi nchi ambayo hakuna viazi mbatata, kila anaehitaji viazi mbatata lazma afanye importation mwenyewe au mtu atakaeamua kuleta viazi mbatata ndani ya nchi hiyo anauza at a ridiculously high price. Okay wewe ukaona hilo mbona dogo. Ukaanza ku import wewe mwenyewe then ukawa unauza at a resonable price hadi wateja wakipiga mahesabu ya transport na other charges anaona ni bora anunue tu kwako. Since you've been doing it for over a year So una advantage kubwa 1. Umetengeza customer base teyar 2. Little or no competition ( wanaouza viazi ni wachache na hao wachache wanauza bei ya juu zaidi yako so all customers come to you.).
Jamaa anajua its a good business, ina returns kubwa. Lakini yeye kama yeye hawezi kuifanya bila mimi because 1. Haijui hii biashara how it's done, where I get the goods. 2. Hana access ya customers at all. Hata alete viazi yeye hatojua kwa kuwatoa hao watu. Hizo ndo sababu ananihitaji mimi. Lakini ameona 1. Nna udhaifu kwake he's trying to control me na anavyosema we'll see when you comes or we'll talk when you come hapo hamna cha kuongea he knows he can easily manupulate me akiwa karibu na mimi.