Msaada wa kisheria: Partnership kwenye biashara

Kama issue ni kugawana 50/50 profit fanya hivi;

Mkubaliane kukulipa msahara kwa kushughulikia uendeshaji biashara, then faida ibaki pale pale 50/50

Ila be ware, partners wana bare liability hata kwa mambo yaliyofanywa na partner wenzao. Exception ni ndogo san kwenye hili

Msingi muongeze kipengele cha salary ili kiseme salary itakuwaje

Then vipengele vya profit vinaweza baki 50/50

Msisahau kusajili iyo partnership deed yenu kwa registrar wa documents.

Kila la kheri.
 
Fanya valuation ya mtaji na madeni ili kujua thamani yake,changia mtaji 50/50 na mkataba uoneshe kwamba mtagawana faida na hasara 50/50.Kwakuwa wewe ndiyo mtenda kazi lazima upate mshahara.Kumbuka akaunti ya buashara lazima iwe ya biashara isiwe ya mtu binafsi huko mbeleni TRA wanaweza kuwasumbueni.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Natamani sana niinvest kwenye hiyo biashara yako ila sijakaribishwa. Anyway kama twaweza meet PM tuyajenge please. Niko tayri kuingia makubaliano ya kisheria[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Dada angu, rudisha pesa ya watu kwanza ndipo umpe masharti yako. Akikubali ndipo upokee pesa, akikataa utakuwa huru. Ukumbuke kuwa mpaka sasa kwa mujibu wa maelezo yako, huyo sio mtu mwema kibiashra so usishangae ukichelewa au kufanya mzaha na pesa yake atakuhesabia muda uliokaa nayo na mwisho utatakiwa kulipa fidia maana anaweza kusema ulifanyia biashara pesa yake. Na kama utagundua kitu hapo kwenye maongezi yenu utaona mnawasiliana zaidi kwa chats na sio calls, unaelew maana yake? Anakukusanya taratibu na hiuo ni hackup trick ya kukubana ukitaka kuruka viunzi.
 
Nakazia!

Usipozingatia ushauri huu kuna siku utakuja hapa ukilia sababu ya huyo mpasha kiporo
 
Good idea
 
By the way huyu ndio yule njemba that cant make the first move ama alishajasiria na kufanikiwa kuonankifuniko cha asali 😜
 
Bro huku HHM mimi ni mtu na heshima zake respected entrepreneur. Ya kule MMU tuyaache kule kule πŸ˜‚
Sawa respected entepepenyua...sasa mbona hujaleta makabrasha dragons tufanye uwekezajj au karatasi hazijakaa sawa?
 
Habari;

Mdau hapo kuna mkanganyiko wa mambo, kuna masuala ya kimazoea na ya kuitaalamu -uhasibu ambayo yana sehemu 2

1.Mgawanyo unategemea capital contribution. Mfano partner A amechanga mtaji 500 na Partner B amechangia 1000 jumla ni 1500

2. Makubaliano yenu partners

* kisheria lazima kufanya hayo kwa maandishi (partnership deed)

1.Mgawanyo wa faida unakua kama ifuatavyo
A atapata 500/1500 x FAIDA
B atapata 1000/1500 x FAIDA

FAIDA = Mapato -Matumizi.

matumuzi = pesa iliyotumika kuendesha biashara: ikiwa pamoja na mshahara wa wafanyakazi/manager. Kama wewe ndio mfanyakazi/manager inamaana unatakiwa kujilipa sawa na vile mungeajili mtu baki.
Kwahiyo -jasho lako(kazi) linalipika hapo kabla ya kugawana faida.
Kwa maana nyingine hata kama mlipatana 50/50 kiuhalisia wewe utapata zaidi kwa maana ulishapata mshahara kama manager nk

Kukubali ama kukataa deal ni wewe,

Ingawa kwa kesi yako, unatakiwa kuwa makini kwasababu huyo mwenza ashaona jambo. Na mbili mahusiano ya mwanzo yata sehemu kubwa kuharibu uhalisia wa biashara ama maamuzi sahihi.
Ingawa income injection ya kiurahisi kama hiyo inashawishi sana; na sio hivyo huo mpunga unatakikana kupush biashara yako mbele/mbali zaidi; au sindivyo?

Dude! Mungu akusaidie kua na maamuzi sahihi. Barikiwa
 
KWA HUDUMA

KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM

USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii

TUKO NA UZOEFU WAKUTOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
Klin&Brite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…