Msaada wa kisheria tafadhali

Tayari una criminal record muajiri hawezi kukuajiri tena, hapo wewe tafuta namna ya kujiajiri...
 
Hili ni swali la kisheria sikutarajia kuona comments za watu wasiojua Sheria Ila naona watu wanatoa tu maushauri hayaeleweki.

Anyway mleta mada check me PM nitakupa maelezo na nini Cha kufanya ili aweze kupata haki zake kisheria kutoka kwa mwajiri wake.

But kindly get all your facts right kujua njia sahihi ya kufuatilia haki zake maana tunaweza kutoa ushauri kwenye facts ambazo were not in issue na zikalead to wrong legal opinion based on wrong information.
 
nasikitika kamuua jamaa bila kumtatua marinda kwanza, angemtatua ndo amuue.
 
PM ya nini tapeli wewe, shuka notes hapahapa, kama huwezi, tembeaaaaa.
 
Nyoosha kwanza maelezo.Je alitiwa hatiani hlf labda mitigation ndio ikamfanya apate adhabu ndogo?
Endapo alitiwa hatiani (haijalishi kaadhabu alikopewa),hiyo ni ground tosha kuondolewa kwenye utumishi wa umma.
 
Ashukuru yupo huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…