Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Criminal: Huyo siyo criminal. Nadhani ni kama kumgonga na gari mlevi aliyekatisha barabarani ghafla ukiwa 120kph!Tayari una criminal record muajiri hawezi kukuajiri tena, hapo wewe tafuta namna ya kujiajiri...
Kaua binadamu mwenzake...M
Criminal: Huyo siyo criminal. Nadhani ni kama kumgonga na gari mlevi aliyekatisha barabarani ghafla ukiwa 120kph!
Kaua binadamu mwenzake..
nasikitika kamuua jamaa bila kumtatua marinda kwanza, angemtatua ndo amuue.Nilikuwa na rafiki yangu, alikuwa ameajiriwa katika shirika moja zuri tu, katika position nzuri tu.
Siku moja alimfumania mke wake na jamaa fulani chumbani kwake wamekaa kitandani wakiangalia ponografia.
Paap! Mke akachoropoka, wakabaki wawili chumbani, mfumania na mfumaniwa.
Ngumi zikaanza, tap tap, tap tap!
Mfumaniwa akapigwa moja makini sana, akadondoka chini tuup! Ili kumaliza kazi, mfumania akaongezea na tofali la kichwa paap!
Mfumaniwa akapoteza maisha palepale!
Kesi ikaenda Polisi, mahakamani. Mfumania alikaa ndani kama miaka minne hivi!
Jamhuri ilitafakari ikaona kwa kweli mfumania hakutendewa haki kabisa, hivyo ikamwachia huru!
Sasa uchungu wangu ni kwamba Jamaa alivyorudi kazini akawa amepoteza kazi!
Swali langu: kama Jamhuri ilimuonea huruma na kuona kwamba jamaa hakutendewa haki, kwa nini isiwe hivyo na kwa mwajiri pia?
PM ya nini tapeli wewe, shuka notes hapahapa, kama huwezi, tembeaaaaa.Hili ni swali la kisheria sikutarajia kuona comments za watu wasiojua Sheria Ila naona watu wanatoa tu maushauri hayaeleweki.
Anyway mleta mada check me PM nitakupa maelezo na nini Cha kufanya ili aweze kupata haki zake kisheria kutoka kwa mwajiri wake.
But kindly get all your facts right kujua njia sahihi ya kufuatilia haki zake maana tunaweza kutoa ushauri kwenye facts ambazo were not in issue na zikalead to wrong legal opinion based on wrong information.
Nyoosha kwanza maelezo.Je alitiwa hatiani hlf labda mitigation ndio ikamfanya apate adhabu ndogo?Nilikuwa na rafiki yangu, alikuwa ameajiriwa katika shirika moja zuri tu, katika position nzuri tu.
Siku moja alimfumania mke wake na jamaa fulani chumbani kwake wamekaa kitandani wakiangalia ponografia.
Paap! Mke akachoropoka, wakabaki wawili chumbani, mfumania na mfumaniwa.
Ngumi zikaanza, tap tap, tap tap!
Mfumaniwa akapigwa moja makini sana, akadondoka chini tuup! Ili kumaliza kazi, mfumania akaongezea na tofali la kichwa paap!
Mfumaniwa akapoteza maisha palepale!
Kesi ikaenda Polisi, mahakamani. Mfumania alikaa ndani kama miaka minne hivi!
Jamhuri ilitafakari ikaona kwa kweli mfumania hakutendewa haki kabisa, hivyo ikamwachia huru!
Sasa uchungu wangu ni kwamba Jamaa alivyorudi kazini akawa amepoteza kazi!
Swali langu: kama Jamhuri ilimuonea huruma na kuona kwamba jamaa hakutendewa haki, kwa nini isiwe hivyo na kwa mwajiri pia?
Acha hasira nyie ndio mnaingilia kazi za watu, we endelea na matusi yako mnaharibu thread kwa ujinga.PM ya nini tapeli wewe, shuka notes hapahapa, kama huwezi, tembeaaaaa.
Ashukuru yupo huruNilikuwa na rafiki yangu, alikuwa ameajiriwa katika shirika moja zuri tu, katika position nzuri tu.