mugishajuma135
Member
- Jul 12, 2018
- 36
- 16
alifanya kazi hapo kwa muda gani?Wakuu salaama!
Kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi kwa bwana mmoja hivi mwenyeji wa Songea ila kamfanyisha kazi (small scale mining) kwa makubaliano ya kuongea tuu bila mkataba wa maandishi. Sasa yule bosi alimwambia atakuwa anamlipa laki 5 kwa mwezi ila hakutekeleza hilo Zaid ya miezi 6 hakulipwa. Mbaya zaidi huyo bosi wake anamwambia hakuna faida alioipata na kuamua kuuza mashine zote. Ila mpk sasa hajamlipa. Anaomba msaada au afanyeje kwenye swala hili hasa kisheria!
Asanteni na naomba kuwasilisha!
Alifanya kazi kwa miezi Sitaalifanya kazi hapo kwa muda gani?
uyo ni mfanyakazi halali wa huyo mwajiri...inapaswa adai malipo yake...mwambie afuatilie tume ya usuluhishi kazini...kuna form atajaza..anaweza kulipwa stahiki zake.Alifanya kazi kwa miezi Sita
Shukrani Sana ndugu.. Naomba uniambie hio tume ya usuluhishi kazini ataanzia wapi ili apate stahiki zakeuyo ni mfanyakazi halali wa huyo mwajiri...inapaswa adai malipo yake...mwambie afuatilie tume ya usuluhishi kazini...kuna form atajaza..anaweza kulipwa stahiki zake.
Wakuu salaama!
Kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi kwa bwana mmoja hivi mwenyeji wa Songea ila kamfanyisha kazi (small scale mining) kwa makubaliano ya kuongea tuu bila mkataba wa maandishi. Sasa yule bosi alimwambia atakuwa anamlipa laki 5 kwa mwezi ila hakutekeleza hilo Zaid ya miezi 6 hakulipwa. Mbaya zaidi huyo bosi wake anamwambia hakuna faida alioipata na kuamua kuuza mashine zote. Ila mpk sasa hajamlipa. Anaomba msaada au afanyeje kwenye swala hili hasa kisheria!
Asanteni na naomba kuwasilisha!
Walimwamini kama mkuu wake tuu, hakuna documents zozote ila Kuna chatting za what's app anazo zinaonesha alivyokuwa anamuomba mishahara yake na akawa anampiga kalendaMkatab
Mkataba sio lazma uwe wa maandishi....
Sheria ya kazi inatambua mkataba ambao sio wa maneno piaWalimwamini kama mkuu wake tuu, hakuna documents zozote ila Kuna chatting za what's app anazo zinaonesha alivyokuwa anamuomba mishahara yake na akawa anampiga kalenda
OK shukrani nduguSheria ya kazi inatambua mkataba ambao sio wa maneno pia