Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

Joined
Jul 12, 2018
Posts
36
Reaction score
16
Wakuu salaama!

Kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi kwa bwana mmoja hivi mwenyeji wa Songea ila kamfanyisha kazi (small scale mining) kwa makubaliano ya kuongea tuu bila mkataba wa maandishi. Sasa yule bosi alimwambia atakuwa anamlipa laki 5 kwa mwezi ila hakutekeleza hilo Zaid ya miezi 6 hakulipwa. Mbaya zaidi huyo bosi wake anamwambia hakuna faida alioipata na kuamua kuuza mashine zote. Ila mpk sasa hajamlipa. Anaomba msaada au afanyeje kwenye swala hili hasa kisheria!

Asanteni na naomba kuwasilisha!
 
alifanya kazi hapo kwa muda gani?
 
uyo ni mfanyakazi halali wa huyo mwajiri...inapaswa adai malipo yake...mwambie afuatilie tume ya usuluhishi kazini...kuna form atajaza..anaweza kulipwa stahiki zake.
Shukrani Sana ndugu.. Naomba uniambie hio tume ya usuluhishi kazini ataanzia wapi ili apate stahiki zake
 
Mkatab
Wakuu salaama!

Kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi kwa bwana mmoja hivi mwenyeji wa Songea ila kamfanyisha kazi (small scale mining) kwa makubaliano ya kuongea tuu bila mkataba wa maandishi. Sasa yule bosi alimwambia atakuwa anamlipa laki 5 kwa mwezi ila hakutekeleza hilo Zaid ya miezi 6 hakulipwa. Mbaya zaidi huyo bosi wake anamwambia hakuna faida alioipata na kuamua kuuza mashine zote. Ila mpk sasa hajamlipa. Anaomba msaada au afanyeje kwenye swala hili hasa kisheria!

Asanteni na naomba kuwasilisha!

Mkataba sio lazma uwe wa maandishi....
 
Mkatab

Mkataba sio lazma uwe wa maandishi....
Walimwamini kama mkuu wake tuu, hakuna documents zozote ila Kuna chatting za what's app anazo zinaonesha alivyokuwa anamuomba mishahara yake na akawa anampiga kalenda
 
Back
Top Bottom