mugishajuma135
Member
- Jul 12, 2018
- 36
- 16
Wakuu salaama!
Kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi kwa bwana mmoja hivi mwenyeji wa Songea ila kamfanyisha kazi (small scale mining) kwa makubaliano ya kuongea tuu bila mkataba wa maandishi. Sasa yule bosi alimwambia atakuwa anamlipa laki 5 kwa mwezi ila hakutekeleza hilo Zaid ya miezi 6 hakulipwa. Mbaya zaidi huyo bosi wake anamwambia hakuna faida alioipata na kuamua kuuza mashine zote. Ila mpk sasa hajamlipa. Anaomba msaada au afanyeje kwenye swala hili hasa kisheria!
Asanteni na naomba kuwasilisha!