Kwanza asante.Ngoja nikuulize bro.
Umewahi kuweka Maji
Samahani wakuu...hivi kwenye hii cooling system...maji/coolant mara baada ya kulitumia gari...haitakiwi yawe ya moto???Kwanza asante.
Haivujishi ikiwa imepaki. Ni pale inapotembea tu.
Kwenye mfuniko yangepenya si yangekwenda kwenye reserve tank, au? Level ya reserve iko pale pale. Halafu mfuniko umebadlishwa mara mbili, mpya wa dukani, baadae used original.
Kuvuja kama mvuke natia shaka kwa sababu maji hata hayapati joto, fan clutch imelokiwa, fani inazunguka muda wote, mshale wa temperature kwenye dashboard unalala chini muda wote karibia na C (cold), ukizima gari baada ya safari hapo hapo unaingiza kidole kwenye radiator huungui...Haichemki, haipati joto.
Maji yanapotea, yanaenda wapi?
Pole boss je inatoa moshi gari yako
Je oil inaongezeka?
Pia acheki T-Connectoin.Ugonjwa wa engine za 2L-TE, 3L na 1KZ-TE ni kwenye cooling system mimi pia ninayo hio 1KZ-TE na kila siku ya mungu lazima niweke coolant ila nilishawahi ibadili oil cooler nilikuta imeoza oza na kuna kutu nyingi sana ilikua imeanza kuathiri block nayi inakutu kweli kweli kwaio mkuu kama unaweza usitumie maji tumia coolant pia angalia radiator uwezekano inavuja ni mkubwa sana kama sio radiator itakua huko kwenye oil cooler..sasa hivi nafikiria kununua radiator mpya maana mimi inaonekana kuna hewa inapita sehemu maana nikifunika kifuniko cha kwenye reservoir pale kwenye breather maji yanatoka yote pia angalia kwenye pipe hose za chini ya radiator possibly zimepasuka kuna manual ya 1KZ-TE naifatilia inawezekana nikaja kugundua kwanini maji yanatoka yenyewe
"mshale wa temperature kwenye dashboard unalala chini muda wote karibia na C (cold)"Kwanza asante.
Haivujishi ikiwa imepaki. Ni pale inapotembea tu.
Kwenye mfuniko yangepenya si yangekwenda kwenye reserve tank, au? Level ya reserve iko pale pale. Halafu mfuniko umebadlishwa mara mbili, mpya wa dukani, baadae used original.
Kuvuja kama mvuke natia shaka kwa sababu maji hata hayapati joto, fan clutch imelokiwa, fani inazunguka muda wote, mshale wa temperature kwenye dashboard unalala chini muda wote karibia na C (cold), ukizima gari baada ya safari hapo hapo unaingiza kidole kwenye radiator huungui...Haichemki, haipati joto.
Maji yanapotea, yanaenda wapi?
Ipo kwa wapi mkuu kwa juu au chini ya radiator? Maana juu kuna pipe(hose) moja inatoka kwenye engine kwenda direct kwenye radiator na chini kuna pipe(hose) piaPia acheki T-Connectoin.
Sijui kitaalamu inaitwaje ila kimsingi kuna pipe inayotoka kwenye kwenye radiator inaingia kwenye engine na kwenye kitu kama ac hivi. Ina umbo la T. Ikichoka inakatika inakuwa inavujisha maji pembeni ya engine.
Nilifululiza siku 3 najaza reservior tank baada ya masaa machache nakuta iko empty. Kufuatilia ndio nikaja sanuka kumbe imepasuka nikaenda nunua kingine kikaungwa tatizo kwisha.
kwa juu flani hivi inatoka kwenye hose ya juu.Ipo kwa wapi mkuu kwa juu au chini ya radiator? Maana juu kuna pipe(hose) moja inatoka kwenye engine kwenda direct kwenye radiator na chini kuna pipe(hose) pia
Sijui labda mmiliki wa nyuma alitoa themostat, gari haikuwa mpya nilipoipata. Nilichofanya mimi ni ku loki fan clutch ili fan izungushwe na crankshaft moja kwa moja, ndio hapo gari ilipoanza kulaza mshale wa temperature kwenye cold muda wote. Hii ilikuwa ni katika kujaribu ku solve kupoteza maji, nikidhani labda ni kwa mvuke, joto jingi mno. Kumbe sio hilo tatizo, gari haichemki na maji yanapotea. |
kwa juu flani hivi inatoka kwenye hose ya juu.
View attachment 1448685
Kwanza asante.
Haivujishi ikiwa imepaki. Ni pale inapotembea tu.
Kwenye mfuniko yangepenya si yangekwenda kwenye reserve tank, au? Level ya reserve iko pale pale. Halafu mfuniko umebadlishwa mara mbili, mpya wa dukani, baadae used original.
Kuvuja kama mvuke natia shaka kwa sababu maji hata hayapati joto, fan clutch imelokiwa, fani inazunguka muda wote, mshale wa temperature kwenye dashboard unalala chini muda wote karibia na C (cold), ukizima gari baada ya safari hapo hapo unaingiza kidole kwenye radiator huungui...Haichemki, haipati joto.
Maji yanapotea, yanaenda wapi?
Asante kwa tahadhari hiyo.Usiende Lea kutembelea jiandae kuharibu cylinder head.
Sijui labda mmiliki wa nyuma alitoa themostat, gari haikuwa mpya nilipoipata.
Nilichofanya mimi ni ku loki fan clutch ili fan izungushwe na crankshaft moja kwa moja, ndio hapo gari ilipoanza kulaza mshale wa temperature kwenye cold muda wote. Hii ilikuwa ni katika kujaribu ku solve kupoteza maji, nikidhani labda ni kwa mvuke, joto jingi mno. Kumbe sio hilo tatizo, gari haichemki na maji yanapotea.
Jua pia engine yako haina maisha marefu maana haiikifii kwenye optimum operating temperature kila muda ina operate kwny 'cold'.