Seals za pistons au piston rings zikiisha zinaruhusu oil pekee kuingia kwenye combustion chamber na ndipo pale gari inatoa moshi wa blue...Maji hayawezi kuingia kwenye combustion chamber kwa kupitia piston rings otherwise hilo gari liwe lina shida ya kuchanganya oil na maji.
Maji yanaweza kuingia kwenye combustion chamber kwa kupitia cylinder head gasket iliyochoka, cylinder head iliyopinda, au kama block engine imepiga crack kitu ambacho ni nadra saaaana...hapa ndiyo pale tunapata moshi mwingi mweupe kwa sababu maji yanakuwa yanaungua na kuwa mvuke..
Sent using
Jamii Forums mobile app