Msaada wa kiufundi: Gari kupoteza maji kila siku

Asante.

Napeleka wakacheki hizo T pipes, radiator hoses, Oil Cooler na water pipes nyingine. Nitacheki na water pump pia, nasikia huwa ina seal inaweza ku leak pia.
Yeah naimani utapata ufumbuzi mkuu.
 
Extrovert niliuliza hivi gari inayopungua coolant Mara kwa Mara inatoa moshi mweupe mwingi muuliza swali akanijibu unatoka mweusi kwa mda then unaacha .SASA KWANGU COOLANT INAPUNGUA SIYO KIVIIILE ILA MOSHI UNATOKA MWEUPE MWINGI una experience nayo ?
 
Mkuu hio ni underlying condition ya seals za piston (piston rings). Zikiwa zimeisha zinaruhusu leakage ya oil au maji kwenye combustion chamber inayopelekea oil/ maji kuchanganyika na mafuta wakati wa uchomaji hivyo kupelekea ule moshi mweupe au wa blue sometimes.
 
Seals za pistons au piston rings zikiisha zinaruhusu oil pekee kuingia kwenye combustion chamber na ndipo pale gari inatoa moshi wa blue...Maji hayawezi kuingia kwenye combustion chamber kwa kupitia piston rings otherwise hilo gari liwe lina shida ya kuchanganya oil na maji.

Maji yanaweza kuingia kwenye combustion chamber kwa kupitia cylinder head gasket iliyochoka, cylinder head iliyopinda, au kama block engine imepiga crack kitu ambacho ni nadra saaaana...hapa ndiyo pale tunapata moshi mwingi mweupe kwa sababu maji yanakuwa yanaungua na kuwa mvuke..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi mkuu umeeleweka vyema kabisa.
 
Fundi gani mzuri wa radiator hapa Dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…