X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Raha ya iPhone ununue mpya...hata ikijifunga unauwezo wa kuifungua ila ulinunua ya mkononi...kuifungua ni ngumu sana labda ubahatike kununua ya mtanzania...🤣🤣🤣Mzee iphone sio watu, utakuja kunipa mrejesho, nishapata tatizo kama lako nimeliwa pesa sana mpaka na mafundi wa Nairobi, mpaka leo nina ipad ipo locked tu na ni mpya!!! Iphone kwenye security hakuna shortcut utaibiwa tu nakuhakikishia
Ulibadili passcode ukiwa hai au ukiwa umekunywa?Ahahaa...uyo ndo alienifanya nibadili password,sasa nikawa nmesahau bhna nikaingiza ya zamani mara nyingi...
Adi mda huu simu imeandika try again in 8 hours
Kwa sisi tuliosomea Kyuba, hii sentensi ishakutoa kwenye mstari.Nilipatiwa mkuu na ndugu yang ikiwa full na mabox yake ila aliitumia kwa muda kidogo.....
Nisaidie mkuu..
Mzee iphone sio watu, utakuja kunipa mrejesho, nishapata tatizo kama lako nimeliwa pesa sana mpaka na mafundi wa Nairobi, mpaka leo nina ipad ipo locked tu na ni mpya!!! Iphone kwenye security hakuna shortcut utaibiwa tu nakuhakikishiaDuuuh hilo wazo la spare hapana...naamini wapo wataalamu wa kulisolve hili
Nilikuwa na case kama yake ikatatuliwa k/ko ila kitu kinafutika unless awe amehamisha kwenye PC au kwenye simu ya mtu mwengine maana simu inakuwa mpya.Mzee iphone sio watu, utakuja kunipa mrejesho, nishapata tatizo kama lako nimeliwa pesa sana mpaka na mafundi wa Nairobi, mpaka leo nina ipad ipo locked tu na ni mpya!!! Iphone kwenye security hakuna shortcut utaibiwa tu nakuhakikishia
Apo kipengele mzee sio kila mtu anaujuzi na mambo ya simu...ata ukiniambia nikwambie kirefu tu cha hyo IOS npo empty kwakwelindio maana watu wanahoji kama kweli ni yako,maana usingebabaika na swali hilo.
hapo anauliza iko updated mpaka IOS ngapi??maana ugumu wa kuifungua unaongezeka kila IOS mpya.
Mzee kwenye mambo haya kuna watu wataalamu....ni swala la muda na connection,naamini ata hyo ipad yako inaweza ikatatuliwa ila utapoteza data zoteMzee iphone sio watu, utakuja kunipa mrejesho, nishapata tatizo kama lako nimeliwa pesa sana mpaka na mafundi wa Nairobi, mpaka leo nina ipad ipo locked tu na ni mpya!!! Iphone kwenye security hakuna shortcut utaibiwa tu nakuhakikishia
Nilikuwa na case kama yake ikatatuliwa k/ko ila kitu kinafutika unless awe amehamisha kwenye PC au kwenye simu ya mtu mwengine maana simu inakuwa mpya.
Mchawi pesa😂Mzee kwenye mambo haya kuna watu wataalamu....ni swala la muda na connection,naamini ata hyo ipad yako inaweza ikatatuliwa ila utapoteza data zote
Mkuu hawakukwambia wamefanyaje kutatua hilo...?
Alinipatia ikiwa amefuta kila kitu chake....yaani kama ilivyotoka dukani na nimeitumia mwaka na miezi kadhaa,Hiyo haitopona...mwenye uwezo wa kuiponyesha ni huyo ndugu Yako alieinunua mara ya kwanza...mrudishie akufungulie
Sijanunua mkuu nlipewa na ndugu yang ikiwa na box na charger yake na alifuta kila kitu chake.....Raha ya iPhone ununue mpya...hata ikijifunga unauwezo wa kuifungua ila ulinunua ya mkononi...kuifungua ni ngumu sana labda ubahatike kununua ya mtanzania...🤣🤣🤣
Ngoja nikuulizie nitakwambia bei yake au nitakupa namba zao. Ila kama unaweza kufika nenda k/koo mtaa wa Masasi kaulize kwa Emma Bonge wanakupeleka mkuuIphone 8
Ahahaa...uyo ndo alienifanya nibadili password,sasa nikawa nmesahau bhna nikaingiza ya zamani mara nyingi...
Adi mda huu simu imeandika try again in 8 hours
Mwenzakk unamuhakikishia kuwa atapoteza kila kitu, lakini ya kwako unaamini data zitabaki. Aliyekutuma amefeli pakubwaMzee kwenye mambo haya kuna watu wataalamu....ni swala la muda na connection,naamini ata hyo ipad yako inaweza ikatatuliwa ila utapoteza data zote
Mkuu hawakukwambia wamefanyaje kutatua hilo...?
Mwenye full documo huwa anajua hatua za kuchukua.Nina full document sio ya wizi mkuu...