Msaada wa ku unlock iPhone, nimesahau passcode

Okay apo nmekupata mkuu......shukrani
 
Wakuu na mimi nina Samsung Galaxy A03 nimesahau pattern leo ni kama 3 weeks ipo ndani tu mwenye ujuzi wa kunlock bila kufuta data anisaidie
 
MREJESHO


Nimefanikiwa unlock phone yangu kwa njia ya kuflsh ...Asanteni kwa ushauri wenu

Pia tusiongee mambo tusikuwa na elimu nayo......Elimu ni pana sana


Raha ya iPhone ununue mpya...hata ikijifunga unauwezo wa kuifungua ila ulinunua ya mkononi...kuifungua ni ngumu sana labda ubahatike kununua ya mtanzania...🤣🤣🤣
Oya acheni izo, kama amesahau passcode akiweka kwenye iTune mzigo unapona.

Ila kama iCloud iyo simu siyo yako.
Ngoja nikuulizie nitakwambia bei yake au nitakupa namba zao. Ila kama unaweza kufika nenda k/koo mtaa wa Masasi kaulize kwa Emma Bonge wanakupeleka mkuu

Hasara:- Nimepoteza data zote
 
Yaah kupoteza data zote ni lazima
 
Wewe ndio ulikuwa ujui...ungempelekea ndugu Yako akufungulie usinge poteza pesa ... Wala mafaili Yako... wabongo Huwa mnaomba ushauri huku na nyie mnao ushauri mwingine kichwani...sijaona makosa yetu...Hadi uje utukosoe kuwa tusiongee mambo tusiokuwa na uelewa nayo...! Mimi nimeanza kuwa mtundu kuifungua simu zilizo shindikana Nina mwaka wa 15 sasa...simu nazifahamu in our...!
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako......japo ushauri wako ulikuwa wa mafumbo au hukutaka kufunguka zaida kwa ya maslahi binafsi...(Actually baadhi ya wabongo ndo tulivyo)
Nakazia kuwa mwenye uwezo wa kuifungua hiyo simu ni huyo ndugu Yako pekee alie inunua...!

Si unaona nilikuquote kabsa unipe maarifa lakini kabla sjafikia mamuzi ya kuflash....labda kwa vile sijakufata inbox,mana ndo wabongo tulivyo
Naamini kuna kitu unajua... tupe maarifa na sisi,kwanini alienipa awe na access ya kufungua kati alifuta kila kitu?

Anyway....kuhusu gharama sijatumia ata mia,sema ndo hvyo nmepoteza baadhi documents.
bila Icloud password, njoo tuuze kama spare
Kuna mwengine huyu alisema njoo tuuze spare....Ahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…