X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Nakazia kuwa mwenye uwezo wa kuifungua hiyo simu ni huyo ndugu Yako pekee alie inunua...!Alinipatia ikiwa amefuta kila kitu chake....yaani kama ilivyotoka dukani na nimeitumia mwaka na miezi kadhaa,
Inamaana ata nikifikia maamuzi ya kuflash haitopona mkuu..?