Msaada wa kuacha kazi bila kutoa notice kutokana na kutukanwa na mwajiri

Msaada wa kuacha kazi bila kutoa notice kutokana na kutukanwa na mwajiri

Habari,
Naomben msaada wa kisheria kutokana na tukio lililontokea nikiwa katika ajira.
Nimefanya kazi katika kampuni binafsi takriban mwaka na nusu lakini ilinilazimu kusitisha ajira yangu gafla kutokana na matusi kutoka kwa mwajiri ambayo yalizidi na kunipelekea kuandoka kazini bila taarifa,sikupanga kuacha kazi kwa namna hiyo ila it was too much and i couldnt handle the stress i decided to quit bila notice..
Naskia boss wangu anataka kufile case labour court nimlipe 3months salary kama notice despite hakunilipa mshahara wangu wa mwez na leave circle yangu ya huo mwaka ckwenda nadai pia..
Naomba mnisaidie kutokana na hiyo senario nifanyaje sababu ni uonevu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni unprofessional yes, Ila as hukufika kazin kwa muda wa siku tano mfululizo Bila taarifa then mwajiri anatakiwa kukufuta kazi. Hayo ya kesi, Sidhani Kama Yana mashiko kisheria otherwise mkataba wako unampa mandate hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I thought huku kuna msaada but all i see is people are here to judge na sio kutoa ushauri wakisheria.yes i admit it was unproffessional but could you prove how with relative facts kwenye sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko mkorofi saana na ndo maana uligombana na bosi wako, ni bora ukajiajiri tuu ndugu maana hautakaa kwa bosi yoyote ukadumu. Nayaongea haya kwa kutazama tu unavyojibu michango ya wadau humu, tena una bahati maana bosi wako angeweza hata kukudai umlipe mshahara wa miezi 12.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kujiajiri ndo hataweza kabisa kwa majibu haya maana huko kauli nzuri ndo kila kitu, kama ye ameajiriwa na yupo hivi je ataweza kukaa na mfanyakazi wake,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom