Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,039
- 1,256
pole sana kwa yaliyo kukuta,najua maumivu ya makazini yalivyo,nimewahipitia changamoto kama zako tena zako ni ndogo sana,mimi nilikua kwenye kampuni kubwa sana,nikakwaruzana na mwajiri baada ya mambo flani kwenda ndivyo sivyo,though mimi nili resign professionally,......ila nikupe hope,Labour court most of the time Employee ndio anakua awarded,na ni mara chache sana Employers kushinda,hii yote ni kwasababu ya sheria ya ajira ya hapa kwetu inambana sana mwajiri,...anakutisha tu kwenda Labor Court,hawezi kwenda,gharama ya kwenda Labor Court is bigy than what he will be awarded by the court (CMA),mimi najua hizo mambo maana nina jamaa zangu wameshinda kesi kule,na mimi baada ya kuanza kuzinguliwa na mwajiri(maana ali reject resignation yangu pending investigation anazozijua yeye),wakaniita hearing iliyoitishwa na Board ya kampuni nikamchukua wakili wangu nikaenda nae,mwajiri akaona am very serious, na nikamshinda mwajiri by fact....baada ya hapo akaridhia resignation yangu,lakini kabla ya hapo vitisho vilikua vingi sana and i was stressed,....note this "mwajiri ni rafiki yako pale tu upo nae kikazi,siku ukiwa na mpango wa kuondoka au ukaondoka anakua adui yako",so relax mzee hamna kesi hapo,jipange anza kutafuta fursa nyingine yakusonga mbele na career yako,....anza kutazama fursa zilizopo you will get the nice job more than you had before.... remember "life starts at the end of comfortability zone",jiamini unleash your potential,utasimama tena and you will win..... wishing you the best!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app