Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Nasubiri ajibu hiliHivi mtoa mada ni mwanamke au mwanaume?
Nahisi utakuwa kwenye early 20s.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri ajibu hiliHivi mtoa mada ni mwanamke au mwanaume?
Nahisi utakuwa kwenye early 20s.
bimdada kala ndimu kali kweliHivi mtoa mada ni mwanamke au mwanaume?
Nahisi utakuwa kwenye early 20s.
Mi sio mwanasiasa,if you cant advice better kukaa kimya,argue with relative facts
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaUko mkorofi saana na ndo maana uligombana na bosi wako, ni bora ukajiajiri tuu ndugu maana hautakaa kwa bosi yoyote ukadumu. Nayaongea haya kwa kutazama tu unavyojibu michango ya wadau humu, tena una bahati maana bosi wako angeweza hata kukudai umlipe mshahara wa miezi 12.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwajiri binafsi au govnt?Kama huna cha maana cha kucomment plz naomba usicomment sababu hujui ni insult gan tunazozipata
Sent using Jamii Forums mobile app