Msaada wa kuacha kazi bila kutoa notice kutokana na kutukanwa na mwajiri

Ni unprofessional yes, Ila as hukufika kazin kwa muda wa siku tano mfululizo Bila taarifa then mwajiri anatakiwa kukufuta kazi. Hayo ya kesi, Sidhani Kama Yana mashiko kisheria otherwise mkataba wako unampa mandate hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I thought huku kuna msaada but all i see is people are here to judge na sio kutoa ushauri wakisheria.yes i admit it was unproffessional but could you prove how with relative facts kwenye sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kujiajiri ndo hataweza kabisa kwa majibu haya maana huko kauli nzuri ndo kila kitu, kama ye ameajiriwa na yupo hivi je ataweza kukaa na mfanyakazi wake,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…