Muonekano wa Altezza naukubali sana na engine ya 2jzge naipenda ndio maana nkaamua kwenda hio njia
Mkuu, Engine na Gearbox na control zote ni kutoka Gs300, sijatumia gearbox ilokuja ndani ya is200.Mchakato wa kubadili engine unahitaji utafiti wa kina sana
Ulipaswa kuangalia compatibility ya Gear box yako na hiyo engine mpya pia ulipaswa kupima ukubwa wa hiyo engine mpya
Sasa kuhusu kuchonga hapo uwe makini sana
Mkuu, Engine na Gearbox na control zote ni kutoka Gs300, sijatumia gearbox ilokuja ndani ya is200.
Nimepata msaada kutoka kwa gtptz, nimeambiwa hio ni sawa engine kuja juu kidogo si big issue.
Mkuu engine imekaa nashkuru, imesogea mbele kidogo, kilichobakia saiv ni ku modify radiator na fan yake na fan ya Ac, bracket zake zinagusana na pulleys, ila itawezekana. πHiyo inakaa ondoa shaka, kama umepata msaada kutoka Geartech Tanzania hao jamaa ndio watalaamu wa modifications.
Usikatishwe tamaa na mafundi ambao hata hawafanyi modifications, ukishindwa wapelekee wenyewe Gtp watie mkono wao gari inakuwa kama imetoka Japan.
Engine imekaa tayari. Utafiti nilikwisha fanya, 2jz inaingia kwenye body ya is200 bila kuhitaji kuextend body.Mlihitajika kufanya utafi wa kina wa vipimo kwanza...hapo ishakula kwako,next time uza ununue unachohitaji,hizi za kubadilisha badilisha wakati mwingine hakuna unafuu,unapoteza muda,fedha na kupata stress na bado usifanikiwe.
Labda mjaribu ku-extend body kwa mbele kdg...au modification ya namna yoyote hapo kwenye show.
Cheki na wataamu wa kutengeneza body na andaa mfuko. Ikishindikana rudisha injini iliyokuwepo. Hapo kwenye bonneti wanaweza inyanyua kdg ikawa kama LR Puma. π Pole