Habari wakuu,
Nimebadilisha engine kutoka 1GFE na kuweka 2JZGE non VVTI. Hii nimeitoa kwenye lexus gs300.
Sasa tatizo lilokuwepo ni kwanza, engine imekuja juu zaidi, yaani inakaribia kugusa bonnet, jengine, hii engine imesogea mbele kidoogo, radiator na feni haikai. Nimeweka gearbox ilotoka kwenye gs300 ambayo nayo cross member itabidi ichongwe.
Kinachoumiza kichwa saivi ni hiyo radiator nafasi yake. Mwenye msaada wa mawazo itakuwa kheri.