Msaada wa kubadilisha Engine katika Lexus IS200

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,188
Reaction score
6,244
Habari wakuu,

Nimebadilisha engine kutoka 1GFE na kuweka 2JZGE non VVTI. Hii nimeitoa kwenye lexus gs300.

Sasa tatizo lilokuwepo ni kwanza, engine imekuja juu zaidi, yaani inakaribia kugusa bonnet, jengine, hii engine imesogea mbele kidoogo, radiator na feni haikai. Nimeweka gearbox ilotoka kwenye gs300 ambayo nayo cross member itabidi ichongwe.

Kinachoumiza kichwa saivi ni hiyo radiator nafasi yake. Mwenye msaada wa mawazo itakuwa kheri.
 
Mchakato wa kubadili engine unahitaji utafiti wa kina sana. Ulipaswa kuangalia compatibility ya Gear box yako na hiyo engine mpya pia ulipaswa kupima ukubwa wa hiyo engine mpya.

Sasa kuhusu kuchonga hapo uwe makini sana
 
Mchakato wa kubadili engine unahitaji utafiti wa kina sana
Ulipaswa kuangalia compatibility ya Gear box yako na hiyo engine mpya pia ulipaswa kupima ukubwa wa hiyo engine mpya
Sasa kuhusu kuchonga hapo uwe makini sana
Mkuu, Engine na Gearbox na control zote ni kutoka Gs300, sijatumia gearbox ilokuja ndani ya is200.

Nimepata msaada kutoka kwa gtptz, nimeambiwa hio ni sawa engine kuja juu kidogo si big issue.
 
Mlihitajika kufanya utafi wa kina wa vipimo kwanza...hapo ishakula kwako,next time uza ununue unachohitaji,hizi za kubadilisha badilisha wakati mwingine hakuna unafuu,unapoteza muda,fedha na kupata stress na bado usifanikiwe.

Labda mjaribu ku-extend body kwa mbele kdg...au modification ya namna yoyote hapo kwenye show.

Cheki na wataamu wa kutengeneza body na andaa mfuko. Ikishindikana rudisha injini iliyokuwepo. Hapo kwenye bonneti wanaweza inyanyua kdg ikawa kama LR Puma. 😀 Pole
 
Hiyo inakaa ondoa shaka, kama umepata msaada kutoka Geartech Tanzania hao jamaa ndio watalaamu wa modifications.

Usikatishwe tamaa na mafundi ambao hata hawafanyi modifications, ukishindwa wapelekee wenyewe Gtp watie mkono wao gari inakuwa kama imetoka Japan.
 
Mkuu engine imekaa nashkuru, imesogea mbele kidogo, kilichobakia saiv ni ku modify radiator na fan yake na fan ya Ac, bracket zake zinagusana na pulleys, ila itawezekana. 😀
 
Mlihitajika kufanya utafi wa kina wa vipimo kwanza...hapo ishakula kwako,next time uza ununue unachohitaji,hizi za kubadilisha badilisha wakati mwingine hakuna unafuu,unapoteza muda,fedha na kupata stress na bado usifanikiwe.

Labda mjaribu ku-extend body kwa mbele kdg...au modification ya namna yoyote hapo kwenye show.

Cheki na wataamu wa kutengeneza body na andaa mfuko. Ikishindikana rudisha injini iliyokuwepo. Hapo kwenye bonneti wanaweza inyanyua kdg ikawa kama LR Puma. 😀 Pole
Engine imekaa tayari. Utafiti nilikwisha fanya, 2jz inaingia kwenye body ya is200 bila kuhitaji kuextend body.
 
Back
Top Bottom