Kuna service kubwa na service ndogo.
Kama ni mara ya kwanza unaweza fanya service ndogo.
1. Badili engine oil.
2. Badili filter.
3. Check kama aircleaner ipo poa if not badili.
4. Check kama gear box oil haijaenda sana then badili (Sio muhimu kuna km zake).
5. Kama unatumia maji kama coolant then toa maji weka coolant (sijui kama kuna recommended).
Service kubwa fundi lazima aangalie vitu vingine like break pads n.k but kama husikii milio just fanya service ndogo.
Kwa aina za oil fundi mzoefu atakuambia lakini pia huwa kila gari ina user manual ukisoma utaona aina ya oil kuanzia gear box mpaka engine....
Ngoja wengine waje kujazia nyama...