Msaada wa kufanya Service ya Gari

Msaada wa kufanya Service ya Gari

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,085
Reaction score
4,890
Wadau naomba kujua unapofanya Service ya Gari ni Hatua na Sehemu gani za Gari zinatakuwa zifanyie hiyo Service?
Pili Aina ya Oil na Greese
Tatu aina ya filter
Gari husika ni HARRIER 240G
 
Wazee wa tako la nyani watakupa full info mda sio mrefu boss
 
Wadau naomba kujua unapofanya Service ya Gari ni Hatua na Sehemu gani za Gari zinatakuwa zifanyie hiyo Service?
Pili Aina ya Oil na Greese
Tatu aina ya filter
Gari husika ni HARRIER 240G
Kuna service kubwa na service ndogo.

Kama ni mara ya kwanza unaweza fanya service ndogo.

1. Badili engine oil.
2. Badili filter.
3. Check kama aircleaner ipo poa if not badili.
4. Check kama gear box oil haijaenda sana then badili (Sio muhimu kuna km zake).
5. Kama unatumia maji kama coolant then toa maji weka coolant (sijui kama kuna recommended).

Service kubwa fundi lazima aangalie vitu vingine like break pads n.k but kama husikii milio just fanya service ndogo.

Kwa aina za oil fundi mzoefu atakuambia lakini pia huwa kila gari ina user manual ukisoma utaona aina ya oil kuanzia gear box mpaka engine....

Ngoja wengine waje kujazia nyama...
 
Ubarikiwe sana kwa ushauri[emoji120][emoji120]
 
Fuata muongozo huu....
Kwa comment hii sina cha kuongezea hata kidogo
 
Back
Top Bottom