Msaada wa kuipata hii app

Msaada wa kuipata hii app

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,450
Reaction score
2,013
Wasalaam,
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kutumia Nokia Fulani hv siikumbuki ni model gani lakini ilikuwa ni ya button. Simu ile ilikuwa na uwezo katika upande wa sms, wa kutuma 'flash message' ambayo moja ya sifa yake ni pamoja na kupotea ukishamaliza kuisoma, yaani haikai kama inbox inajitokeza tu unafungua kuisoma kisha inapotea mara ubonyezapo kuirudisha simu yako katika hali ya kawaida.

Anaejua nanwezaje kupata app ya sms inayoweza kufanya hiyo kazi anisaidie tafadhali
 
Mimi mwenyewe nahitaji hiyo app... Miaka ya nyuma 2012 nilitumia Nokia Xpress music ilikuwa na hiyo option ya kutuma SMS zinaoonekana kwenye screen ya mtu niliyemtumia bila yeye kufungua then akibonyeza back button, SMS inapotea jumla
 
nimeutafuta sanaa hii hudumaa mara mwisho niliitumia kwa Nokia Asha
 
Back
Top Bottom