Habar,poleni na majukumu ya kulijenga taifa kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu naomben msaada kwenu wana jf wenzangu niweze kuujua mzunguko wangu mwez wa pili niliingia date 4/2/2015 na mwez wa tatu niliingia date 10/3/2015 na mwez huu wa nne nimeingia date 8/4/2015 pia na siku ipi nikifanya napata ujauzito.Ni hayo tu nasubir msaada kutoka kwenu,asanten
Umeolewa?
Mhhhh! Unataka kumuoa?
Kuna ubaya gani na wewe kama hujaolewa ukawa mchepuko wangu nikishamuoa?
Mchepuko si tatizo una hela ya kutosha au mawazo?
Hela ya mawazo ila mapenzi ya 'that' ninayo
Habar,poleni na majukumu ya kulijenga taifa kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu naomben msaada kwenu wana jf wenzangu niweze kuujua mzunguko wangu mwez wa pili niliingia date 4/2/2015 na mwez wa tatu niliingia date 10/3/2015 na mwez huu wa nne nimeingia date 8/4/2015 pia na siku ipi nikifanya napata ujauzito.Ni hayo tu nasubir msaada kutoka kwenu,asanten
Habar,poleni na majukumu ya kulijenga taifa kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu naomben msaada kwenu wana jf wenzangu niweze kuujua mzunguko wangu mwez wa pili niliingia date 4/2/2015 na mwez wa tatu niliingia date 10/3/2015 na mwez huu wa nne nimeingia date 8/4/2015 pia na siku ipi nikifanya napata ujauzito.Ni hayo tu nasubir msaada kutoka kwenu,asanten
Oooh hapo pagumu kuliko jiwe
Asanteni kwa majibu yenu ndugu zangu kumbe humu ni kupeana kashfa hivyo na sio kupeana mawazo jamani,asanteni sana