Msaada wa kujua mzunguko wangu

Msaada wa kujua mzunguko wangu

mchoyo

Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
48
Reaction score
8
Habar,poleni na majukumu ya kulijenga taifa kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu naomben msaada kwenu wana jf wenzangu niweze kuujua mzunguko wangu mwez wa pili niliingia date 4/2/2015 na mwez wa tatu niliingia date 10/3/2015 na mwez huu wa nne nimeingia date 8/4/2015 pia na siku ipi nikifanya napata ujauzito.Ni hayo tu nasubir msaada kutoka kwenu,asanten
 
Umeolewa?
 
Yaani hedhi ya kwako utupe shida sisi kweli siku hizi hivi vyuo wanafundisha nini? Yaani hata hiki unataka kusaidiwa hukusoma hata s`ekondari? huna hata shangazi yako akusaidie? huna hata mama yako akufundishe?
 
Habar,poleni na majukumu ya kulijenga taifa kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu naomben msaada kwenu wana jf wenzangu niweze kuujua mzunguko wangu mwez wa pili niliingia date 4/2/2015 na mwez wa tatu niliingia date 10/3/2015 na mwez huu wa nne nimeingia date 8/4/2015 pia na siku ipi nikifanya napata ujauzito.Ni hayo tu nasubir msaada kutoka kwenu,asanten

Njoo chumbani nikujuze
 
Kwa muda uliotaja bado hautoshi, at least fuatilia ada yako kwa miezi sita...

Pia katika muda huo kuwe na mazingira yanayo fanana, yaani usiugue, usipatwe na msiba, usipatwe na mshtuko mkubwa, nk

Baada ya miezi hiyo kupita itakuwa rahisi kwa madaktari kukokotoa...

Mie siyo Daktari, Subiri watakuja kukujibu kitaalam.
 
Oooh hapo pagumu kuliko jiwe

Nina modest proposal... kuna bwana mmoja ambaye si rafiki wala adui yangu but ni maarufu tu mtaani kwetu hakuna asiyemjua...jamaa ana hela sana ila ni mdhaifu sana kwa viumbe wa jinsia pendwa hii...so hana mapenzi ya dhati...unaonaje akawa muwezeshaji kifedha halafu mapenzi ya dhati ukachepuka kwetu tusio na fedha?
 
Asanteni kwa majibu yenu ndugu zangu kumbe humu ni kupeana kashfa hivyo na sio kupeana mawazo jamani,asanteni sana
 
Ila Decomm asante kwa ushaur wako mzizi mkavu uko wapi jamani
 
Eti umeolewa, halafu mp yako hujui, pole sana mchoyo
 
Last edited by a moderator:
Asanteni kwa majibu yenu ndugu zangu kumbe humu ni kupeana kashfa hivyo na sio kupeana mawazo jamani,asanteni sana

Wewe hebu acha kujikanyaga kanyaga, aliyekukashifu hapa ni nani?

Mwanamke gani usiyejua idadi ya siku za mzunguko wako jambo ambalo ni wajibu wa kila mwanamke aliye katika balehe?

Haya wewe si unataka kupewa jibu, mzunguko wako una siku 34 hadi 35...
 
Mwanangu mchoyo, si kawaida yangu kutoa ushauri kama huu hasa nje ya watu wasio katika ndoa. Kimsingi nakushauri usifikirie kuyafanya haya ili kufanya ngono na usipate mimba ila tu fikiria zaidi kujitunza na kusubiri ufunge ndoa ndipo ufanye tendo la ndoa. Kwa umri wako najua utakuwa bado uko shule na si vizuri kuchanganya haya mambo ya zinaa na shule, utaishia kujilaumu sana baadaye baada ya kuyakosa yote.

Kwa kukusaidia tu ingawa ushauri wangu ni kuepuka Zinaa na kumwogopa Mungu huku ukikataa kuruhusu mwili wako uchezewe, hakuna anayependa kula kiporo mwanangu.................

Ni hivi Hesabu siku tatu au nne za hedhi yako.. hizi hazina tatizo kwa WANANDOA kupata ujauzito ingawa si vizuri kufanya TENDO LA NDOA katika siku hizi hasa kwasababu za kiafya. Kisha hesabu siku saba baada ya kumaliza hedhi...... au siku kumi na moja tangu uanze mzunguko wako..... Hizi siku saba ni nzuri kwa wanandoa kufanya TENDO LA NDOA kwani hawawezi kupata ujauzito. Then hesabu siku TISA baada ya siku ya kumi na moja tangu uanze mzunguko.... HIZI NI MBAYA SANA KWA WANANDOA kufanya TENDO LA NDOA hasa kama hawataki KUMPATA MTOTO/MIMBA katika kipindi hiki....... Hizi siku tisa zitakupeleka hadi siku ya ISHIRINI na MOJA tangu uanze MZUNGUKO.... Na kuanzia siku hii ya Ishirini na moja (Au Ishirini na Mbili kuwa na Uhakika zaidi) hadi utakapoanza tena mzunguko wa hedhi..... siku hizi ni nzuri pia kwa WANANDOA KUFANYA TENDO LA NDOA BILA KUPATA UJAUZITO.

Nimekupa tu ushauri mwanangu mchoyo ila ukumbuke kuwa hakuna mapenzi ya kweli nje ya ndoa.... Ni zinaa tu na kuchoshana, mkishachoshana mkachokana hamtatamani tena hata kuangaliana usoni. Madhara ya zinaa ni makubwa si tu kwa jamii yako, wewe mwenyewe na mwenzio bali pia kwa Mungu !!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom