Habar,poleni na majukumu ya kulijenga taifa kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu naomben msaada kwenu wana jf wenzangu niweze kuujua mzunguko wangu mwez wa pili niliingia date 4/2/2015 na mwez wa tatu niliingia date 10/3/2015 na mwez huu wa nne nimeingia date 8/4/2015 pia na siku ipi nikifanya napata ujauzito.Ni hayo tu nasubir msaada kutoka kwenu,asanten