Msaada wa kujua shule nzuri za Sekondari za mchanganyiko ya kutwa au Bweni

Sarisasa

New Member
Joined
Jul 20, 2020
Posts
4
Reaction score
0
Wakuu habari zenu.
Tafadhali naomba kujua shule ambayo ni nzuri naweza kumpeleka kijana wangu anayemaliza std 7 mwaka huu kwa ajili ya kujiunga kidato cha kwanza.
Shule natamani kujua zile zenye mchanganyiko yaan wavulana kwa wasichana ambayo ni either Ya Kutwa au ya Bweni hasa hasa zilizopo mkoani Dar es salaam au Pwani.
Ada isiyozidi milioni 5 kwa mwaka.
Asanteni sana in advance wakuu
 
AHMES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…