frabel
Member
- Mar 13, 2021
- 96
- 60
Kaka kwanza mshukuru Mungu kwa hatua kubwa.Habari wakuu .
Nataka kuanza ujenzi ule wa mdogomdogo atleast by the end of the year niwe nimepaua na kuweka grill kwenye madirisha na milango ya nje.
Ramani ina ukubwa wa m 15 x m 14 na ni nyumba ya vyumba 4, vyumba 2 ni self contained na vikolombwezo vyake vyote.
Uwanja ni tambarare na nataka kujengea tofali za kuchoma na mawe kwa msingi.
Sasa nishaurini niwe na kiasi gani kukamilisha hatua nilizozitaja hapo juu, japo kiasi cha kuanzia kipo atleast ya kukamilisha msingi around 3mln.
Ramani ya nyumba kwenye picha inafanana kama hivi na floor plni yake iko hapo chini.
View attachment 1714028View attachment 1714029View attachment 1714030
Pili hongera kwa maandalizi makubwa.
Kwa habari ya kazi za
Kusoma ramani ,kujenga, kufanya finishing za nyumba, mifumo ya maji taka na safi ,umeme na urembo ,Basi, uvimo tumebobea katka hili. Tunao wataalam.
Ili kupata makadirio ya ramani yako uliyo toa hapo juu
Wasiliana nasi kwa
0629361896
0753927572 -Wasap
0713665510