Msaada wa kukadiria gharama za ujenzi

Kaka kwanza mshukuru Mungu kwa hatua kubwa.
Pili hongera kwa maandalizi makubwa.

Kwa habari ya kazi za
Kusoma ramani ,kujenga, kufanya finishing za nyumba, mifumo ya maji taka na safi ,umeme na urembo ,Basi, uvimo tumebobea katka hili. Tunao wataalam.

Ili kupata makadirio ya ramani yako uliyo toa hapo juu

Wasiliana nasi kwa
0629361896
0753927572 -Wasap
0713665510
 
Ndio tatizo la kuforce nyumba ya ukubwa wa 14x15 kuwa na vyumba vinne. Apunguze, vibaki vitatu au aongeze ukubwa wa nyumba.
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8000
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13000
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…