Msaada wa kumpata mheshimiwa mbunge vick kamatha

Nenda home kwake sinza vatcani, brocklin street kuna ikulu ndogo pale bangaloo jeupeee, utampata bila chenga.
 
Mkuu vp ulifanikiwa?
 
Kwasababu kama unataka kukutana na mtu mwenye nafasi ya Kamatha kuna njia flani za kufuata mpaka unakutana nae. Sio watu wakuelekeze anapoishi tu, unataka kufanya nini, kwenda kubisha hodi? Huo si uchizi!
hahaaa
 


Nenda kamtongoze bungeni, nafikiri ndiyo itakuwa rahisi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…