bepari la kichaga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 528
- 516
Nenda home kwake sinza vatcani, brocklin street kuna ikulu ndogo pale bangaloo jeupeee, utampata bila chenga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali umemtarif mapema..asije sema hana taafifaNi mke wa mtu mkuu uwende kwa heshima
Mjini ndoa ni bidhaa adimu mkuu ukiikamata unaikumbatia
Ni kweli kabisa..but tatizo ni nani wa kumuoa..Mjini ndoa ni bidhaa adimu mkuu ukiikamata unaikumbatia
Mkuu vp ulifanikiwa?Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Naomba msaada wa kumpata kiurahis zaid mheshimiwa mbunge wa viti maalum kupitia ccm vick kamata kama kuna mtu anapajua kwake au nyumban kwake naomba anambia, kama utakuwa na namba yake nitumie pm naomben sana jaman muweze kunisaidia kuhusu hilo
Au hata kama wewe mama yangu mheshimiwa utapata ujumbe huu naomba nitafute au nifate pm nakuomba sana
LONDON BABY
Usije ukashitakiwa kwa kubuguzi watu
hahaaaKwasababu kama unataka kukutana na mtu mwenye nafasi ya Kamatha kuna njia flani za kufuata mpaka unakutana nae. Sio watu wakuelekeze anapoishi tu, unataka kufanya nini, kwenda kubisha hodi? Huo si uchizi!
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Naomba msaada wa kumpata kiurahis zaid mheshimiwa mbunge wa viti maalum kupitia ccm vick kamata kama kuna mtu anapajua kwake au nyumban kwake naomba anambia, kama utakuwa na namba yake nitumie pm naomben sana jaman muweze kunisaidia kuhusu hilo
Au hata kama wewe mama yangu mheshimiwa utapata ujumbe huu naomba nitafute au nifate pm nakuomba sana
LONDON BABY
Nilisikia mkwere ana megaHivi naye ni mbunge kumbe.... Siku hizi haimbi? Angemtungia kakake wimbo angalau mmoja km alizomtungia M,kwere!!!
wabunge wa viti maalum nao wana majimbo siku hizi?!.