Msaada wa kumpata mtu aliyenitapeli

Msaada wa kumpata mtu aliyenitapeli

pascal luoga

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
233
Reaction score
264
Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku.

Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye na kuna number alitumia kunitafuta ambayo iliweza kupatikana hiyo juzi na jana ila leo haipatikani, kesi ya huyo mtu iko central police

SWALI JE.
Huyo mtu anaweza kupatikana kwa kupitia hiyo namba ya simu kana kwamba juzi na jana ilikuwa hewani ila leo haipatikani?

Nimefuatilia Polisi wamesema wako kwenye utaratibu wa kufuatilia hiyo number. Na kuna gharama za kutoa kwenye ishu kama hiyo .

Swali je?

KUNA ALIYEWAI KUMPATA MTU AMA MTUHUMIWA WAKE KWA KUPITIA NUMBER YA SIMU?

MWENYE experience naomba aweze kunieleza kama alifanikiwa na ilikuwaje?
 
Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku...

Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juz jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana nate kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye na kuna number alitumia kunitafuta ambayo iliweza kupatikana hiyo juz na jana ila leo haipatikani, kesi ya huyo mtu iko central police

SWALI JE!
HUYO mtu anaweza kupatikana kwa kupitia hyo namba ya simu kana kwamba juz na jana ilikuwa hewani ila leo haipatikani?

Nimefuatilia police wamesema wako kwenye utaratibu wa kufuatilia hyo number. Na kuna gharama za kutoa kwenye ishu kama hiyo .Swali je?

KUNA ALIYEWAI KUMPATA MTU AMA MTUHUMIWA WAKE KWA KUPITIA NUMBER YA SIMU???

Ww sema Umetapeliwaje
Tuanzie hapo
 
Gharama ya kumtafuta tena polisi?
 
gharama na mda wako unavilipaje? kama umeandika kiasi ulichokitaja hapo juu jiandae kwa zaidi ya hiyo kumpata muhalifu wako.

mtu usiemfahamu amekutapelije kiasi chote hicho mkuu??
 
Mtoa Mada aseme ametapeliwaje??anamfahamu huyo mtu face to face au walikutana kwenye Mitandao tu??hiyo pesa alimpata cash mikononi au alimtumia kwa simu??
 
Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku...

Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juz jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana nate kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye na kuna number alitumia kunitafuta ambayo iliweza kupatikana hiyo juz na jana ila leo haipatikani, kesi ya huyo mtu iko central police

SWALI JE!
HUYO mtu anaweza kupatikana kwa kupitia hyo namba ya simu kana kwamba juz na jana ilikuwa hewani ila leo haipatikani?

Nimefuatilia police wamesema wako kwenye utaratibu wa kufuatilia hyo number. Na kuna gharama za kutoa kwenye ishu kama hiyo .Swali je?

KUNA ALIYEWAI KUMPATA MTU AMA MTUHUMIWA WAKE KWA KUPITIA NUMBER YA SIMU???

MWENYE experience naomba aweze kunieleza kama alifanikiwa na ilikuwaje?
Kwanza nikupe pole sana. Pili kuwa makini sana polis wetu hawa unaweza kutumia garama kubwa kuliko hiyo mwizi asipatikane kabisa.
 
Kubali matokeo kwamba umeshaibiwa, mshukuru mungu na kisha endelea na maisha yako, utapoteza pesa na muda zaidi, na hizo pesa zako hazitarudi.

Jaribu kumtafuta kwa juhudi zako mwenyewe lakini cha muhimu usipoteze muda wako kuhangaika naye. Chukulia kwamba ni bahati mbaya imetokukea umepoteza na endelea na maisha yako.
 
Kumbuka kuna kitambulisho cha taifa kwenye usajili
Una hakika namba hiyo ilisajiliwa kwa jina lake? Lakini pia, wanaweza (mamlaka husika) kufuatilia kujua before hiyo namba ilikuwa ikiwasiliana na nani, then kutoka hapo itajulikana nani aliwahi kutumia namba iliyohusika kukutapeli wewe.

Don't give up! Kumbuka hata ukitumia gharama kubwa, akipatikana mhalifu atazilipa zote.

Usiwasikilize wengine humu, huenda ni walewale matapeli na ndio wanakukatisha tamaa ili kuulinda mtandao wao.
 
Pole sana mkuu.
Ila siku nyingine kuwa makini.
maranyingi watu wanaotapeliwa huwa wanatamanishwa urahisi wa kupata pesa au kitu kwa short cut.
 
Una hakika namba hiyo ilisajiliwa kwa jina lake? Lakini pia, wanaweza (mamlaka husika) kufuatilia kujua before hiyo namba ilikuwa ikiwasiliana na nani, then kutoka hapo itajulikana nani aliwahi kutumia namba iliyohusika kukutapeli wewe.

Don't give up! Kumbuka hata ukitumia gharama kubwa, akipatikana mhalifu atazilipa zote.

Usiwasikilize wengine humu, huenda ni walewale matapeli na ndio wanakukatisha tamaa ili kuulinda mtandao wao.
Polisi wetu uwajui Wewe, Huyo tapeli wanaweza wakampata na wasikuambie kua wamempata wakamkamua pesa na wakamuachia, kila ukifuatilia unaambiwa hajapatikana anafuatiliwa na wameshakukamua pesa hasara juu ya hasara
 
Imeisha hiyooo...

Hadi unakuja kumpata, utashangaa umetumia zaidi ya hela aliyokutapeli...
 
Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku.

Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye na kuna number alitumia kunitafuta ambayo iliweza kupatikana hiyo juzi na jana ila leo haipatikani, kesi ya huyo mtu iko central police

SWALI JE.
Huyo mtu anaweza kupatikana kwa kupitia hiyo namba ya simu kana kwamba juzi na jana ilikuwa hewani ila leo haipatikani?

Nimefuatilia Polisi wamesema wako kwenye utaratibu wa kufuatilia hiyo number. Na kuna gharama za kutoa kwenye ishu kama hiyo .

Swali je?

KUNA ALIYEWAI KUMPATA MTU AMA MTUHUMIWA WAKE KWA KUPITIA NUMBER YA SIMU?

MWENYE experience naomba aweze kunieleza kama alifanikiwa na ilikuwaje?
Hata kama namba yake haipatikani kuna uwezekano wa kumkamata. Kitachofanyika ni kutrace IMEI ya simu iliyokuwa inatumika hiyo namba, halafu watacheki hiyo SIMU inatumika kwa namba ipi.

Sema hii process inaweza kukufanya upigwe mara tatu ya hiyo pesa. Pia kuna uwezekano wa kukutana na polisi wasiohusika na Cyber, wakakulia pesa, wakakupotezea bila msaada!
 
Back
Top Bottom