Nataka kununua gari kwa mtu,ni njia gani nzuri kisheria itakayonisaidia ili hiyo gari niweze kulimiliki.Nimeenda kuliona gari ni zuri,muuzaji kanipa namba ya akaunti nikalipie benki,wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba je nikienda kulipa halafu asipe blue kadi nitafanyaje.Naombeni mnisaidie utaratibu mzuri kisheria wa kufuata.