Msaada wa kununua gari.

Msaada wa kununua gari.

Master b

Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
44
Reaction score
10
Nataka kununua gari kwa mtu,ni njia gani nzuri kisheria itakayonisaidia ili hiyo gari niweze kulimiliki.Nimeenda kuliona gari ni zuri,muuzaji kanipa namba ya akaunti nikalipie benki,wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba je nikienda kulipa halafu asipe blue kadi nitafanyaje.Naombeni mnisaidie utaratibu mzuri kisheria wa kufuata.
 
Hiyo gari inauzwa mil ngapi? Manake umekuwa mwoga sana.
Mtafute mwandishi wa uma muandikishiane mkataba na uwe na shahidi at least 1 na hiyo slip utoe copy
 
Nataka kununua gari kwa mtu,ni njia gani nzuri kisheria itakayonisaidia ili hiyo gari niweze kulimiliki.Nimeenda kuliona gari ni zuri,muuzaji kanipa namba ya akaunti nikalipie benki,wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba je nikienda kulipa halafu asipe blue kadi nitafanyaje.Naombeni mnisaidie utaratibu mzuri kisheria wa kufuata.

Blue card ni nini kamanda..........?......
 
Labda kama sikuelewa,ninamaana ya kadi ya gari(motor vehicle registration card)
 
Back
Top Bottom