Msaada wa kununua nguo na kofia China

Msaada wa kununua nguo na kofia China

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,718
Ningependa kupata ufafanuzi juu ya kuagiza nguo na kofia kutoka china. Sana sana ningependa kujua kaisari (TRA) anachukua kodi asilimia ngapi ya mzigo wanguo unaouingiza. Ningafurahi kama ningejua gharama zote za kuingiza huo mzigo wa nguo na kofia utaweza kufika asilimia ngapi ya bei ya kununulia. Asanteni. ova
 
hivi hii kaisari TRA, ndo kaisari yule wa kipindi cha huko nyuma katika masuala ya dini?
 
Vipi boss...msingi wa biashara siku zote epuka hivi vitu boss;

1.Kujikita zaidi katika kuangalia vizuizi,mfano naeza sema umejikita kwa kaizari...TRA.
2.Kujiuliza saaaaaaaaaaaaaana,usihoji sana juu ya biashara unayotaka kufanya bali anza na kiwango kidooogo tu upime yaliyomo,angalizo wakati wa kuanza risk kiasi cha kawaida cha pesa ambacho ikitokea imekula hutapata pressure.

Zaidi...kuwa na taarifa zaidi,kwani hawa woooote Tanzania hii wanaofanya biashara hawamuoni uyo kaizari?yupo lkn tuna komaa umoumo,ingia ngomani!

Mwisho kama unamuogopa saaana kaizari,weka pesa mezani shika remonte ya TV,grass ya juice pembeni na laptop yako,account ikiwa inacheka lkn! kidooogo tu sio kiivo,ukutani na kaizari,mzigo unakufikia apo ndani bila ya wewe kukutana na kaizari ata kwa dakika moja,wewe panga mashambilizi ya mauzo na masoko tu.
 
HEBU NEND MTANDAO wa alibaba shop utakuonesha hizo bidhaa unazotaka kununua na bei yake ila sasa
kimbembe kwa kaisaria TRA HAPO ila watumie maimporter HOME SHOPPING CENTRE hawa jamaa wanaweza kukusaidia kukuletea mzigo huo mpaka mlango kwa gharama ambazo watakutoza
 
Ndo mule mule mkuu, maana kwa namna yoyote tunaipa pesa serikali kupitia TRA. Kwa hiyo kaisari anayeonekana ni TRA kwa mwavuli wa serikali
 
Vipi boss...msingi wa biashara siku zote epuka hivi vitu boss;

1.Kujikita zaidi katika kuangalia vizuizi,mfano naeza sema umejikita kwa kaizari...TRA.
2.Kujiuliza saaaaaaaaaaaaaana,usihoji sana juu ya biashara unayotaka kufanya bali anza na kiwango kidooogo tu upime yaliyomo,angalizo wakati wa kuanza risk kiasi cha kawaida cha pesa ambacho ikitokea imekula hutapata pressure.

Zaidi...kuwa na taarifa zaidi,kwani hawa woooote Tanzania hii wanaofanya biashara hawamuoni uyo kaizari?yupo lkn tuna komaa umoumo,ingia ngomani!

Mwisho kama unamuogopa saaana kaizari,weka pesa mezani shika remonte ya TV,grass ya juice pembeni na laptop yako,account ikiwa inacheka lkn! kidooogo tu sio kiivo,ukutani na kaizari,mzigo unakufikia apo ndani bila ya wewe kukutana na kaizari ata kwa dakika moja,wewe panga mashambilizi ya mauzo na masoko tu.
I got you master! ila tatizo langu mimi sina cash nyingi sana so ningependa atleast kufahamu anachukua ngapi. Nsipofanya hivo inaweza ikala kwangu maana naweza nikakosa hela ya kukomboa mzigo on time. Kitu ambacho sikitaki maana ntakua nimefanya jambo la kijinga. Hata na hivo mipango ni kuanza kidogo kidogo
 
HEBU NEND MTANDAO wa alibaba shop utakuonesha hizo bidhaa unazotaka kununua na bei yake ila sasa
kimbembe kwa kaisaria TRA HAPO ila watumie maimporter HOME SHOPPING CENTRE hawa jamaa wanaweza kukusaidia kukuletea mzigo huo mpaka mlango kwa gharama ambazo watakutoza
Aaah! huko Alibaba nimeshatembelea na nimeona bei ila nlikua nataka kujua na kwa upande wa TRA itakuwaje, maana hawa TRA hawaeleweki
 
I got you master! ila tatizo langu mimi sina cash nyingi sana so ningependa atleast kufahamu anachukua ngapi. Nsipofanya hivo inaweza ikala kwangu maana naweza nikakosa hela ya kukomboa mzigo on time. Kitu ambacho sikitaki maana ntakua nimefanya jambo la kijinga. Hata na hivo mipango ni kuanza kidogo kidogo

Kwa ushauri...usiagize na ukataka ww ndio uangaike TRA...na kama ukifanya hivyo pitia mombasa boss kazi,kama dar wape watu kula (forwarder) utapiga bao,best of lucky
 
Vipi boss...msingi wa biashara siku zote epuka hivi vitu boss;

1.Kujikita zaidi katika kuangalia vizuizi,mfano naeza sema umejikita kwa kaizari...TRA.
2.Kujiuliza saaaaaaaaaaaaaana,usihoji sana juu ya biashara unayotaka kufanya bali anza na kiwango kidooogo tu upime yaliyomo,angalizo wakati wa kuanza risk kiasi cha kawaida cha pesa ambacho ikitokea imekula hutapata pressure.

Zaidi...kuwa na taarifa zaidi,kwani hawa woooote Tanzania hii wanaofanya biashara hawamuoni uyo kaizari?yupo lkn tuna komaa umoumo,ingia ngomani!

Mwisho kama unamuogopa saaana kaizari,weka pesa mezani shika remonte ya TV,grass ya juice pembeni na laptop yako,account ikiwa inacheka lkn! kidooogo tu sio kiivo,ukutani na kaizari,mzigo unakufikia apo ndani bila ya wewe kukutana na kaizari ata kwa dakika moja,wewe panga mashambilizi ya mauzo na masoko tu.

mkuuu elaborate hapo pa kukaa na juyc na laptop
nadhani nataka nijue mbinu za kumkwepa bwana kaisari3
 
kabisa mkuuuu kama kagari kadogo tu ambako hata sio ka biashara unalipa robo tatu ya bei ya gari kama kodi si hatarii hiiii

mkuuu elaborate hapo pa kukaa na juyc na laptop
nadhani nataka nijue mbinu za kumkwepa bwana kaisari3

Masai dada...swala la importation ya magari na bidhaa nyingine nadhani ni vitu viwili ambavyo havifungamani,kwenye gari 😛asua,pasua,pasua,lakini kwenye bidhaa iwe yoyote ile,unahitaji hivi vitu vitatu (1)well talented n enough exposure kwa kile unachokitaka (2)supplier wa bidhaa unazohitaji angalau watatu wa uhakika (3)forwarder sahihi "RIGHT AGENT"=apo ndio na maana utakaa na juice na laptop,shows zooote zitanyoka bila kuwaza kaizari,kifupi vitu ni rahisi huna aja ya kupasuka kichwa ata kidogo,ingawa izo point tatu zinamchanganua.

NB:nimesema uagizaji wa gari na bidhaa ni tofauti coz
1.gari kama ni bmw au benz au e.t.c huwezi danganya always litakuwa hilo ndio unaagiza hakuna kukwepa,mchanganua wake wa kodi ushacholwa vice versa is true.
2.uagizaji wa gari ata umtumie agent gani nae hana kona kudanganya ktk nyaraka au mwaka wa make up ya gari n.k so hakuna chenga meanwhile vice versa is true
....hey mida aiseee,ndio na utafute taarifa sasa sio kiiivyo.
 
Vipi boss...msingi wa biashara siku zote epuka hivi vitu boss;

1.Kujikita zaidi katika kuangalia vizuizi,mfano naeza sema umejikita kwa kaizari...TRA.
2.Kujiuliza saaaaaaaaaaaaaana,usihoji sana juu ya biashara unayotaka kufanya bali anza na kiwango kidooogo tu upime yaliyomo,angalizo wakati wa kuanza risk kiasi cha kawaida cha pesa ambacho ikitokea imekula hutapata pressure.

Zaidi...kuwa na taarifa zaidi,kwani hawa woooote Tanzania hii wanaofanya biashara hawamuoni uyo kaizari?yupo lkn tuna komaa umoumo,ingia ngomani!

Mwisho kama unamuogopa saaana kaizari,weka pesa mezani shika remonte ya TV,grass ya juice pembeni na laptop yako,account ikiwa inacheka lkn! kidooogo tu sio kiivo,ukutani na kaizari,mzigo unakufikia apo ndani bila ya wewe kukutana na kaizari ata kwa dakika moja,wewe panga mashambilizi ya mauzo na masoko tu.
huyu jamaa kaongea point sana
 
Masai dada...swala la importation ya magari na bidhaa nyingine nadhani ni vitu viwili ambavyo havifungamani,kwenye gari 😛asua,pasua,pasua,lakini kwenye bidhaa iwe yoyote ile,unahitaji hivi vitu vitatu (1)well talented n enough exposure kwa kile unachokitaka (2)supplier wa bidhaa unazohitaji angalau watatu wa uhakika (3)forwarder sahihi "RIGHT AGENT"=apo ndio na maana utakaa na juice na laptop,shows zooote zitanyoka bila kuwaza kaizari,kifupi vitu ni rahisi huna aja ya kupasuka kichwa ata kidogo,ingawa izo point tatu zinamchanganua.

NB:nimesema uagizaji wa gari na bidhaa ni tofauti coz
1.gari kama ni bmw au benz au e.t.c huwezi danganya always litakuwa hilo ndio unaagiza hakuna kukwepa,mchanganua wake wa kodi ushacholwa vice versa is true.
2.uagizaji wa gari ata umtumie agent gani nae hana kona kudanganya ktk nyaraka au mwaka wa make up ya gari n.k so hakuna chenga meanwhile vice versa is true
....hey mida aiseee,ndio na utafute taarifa sasa sio kiiivyo.

hah haya mkuuu shukurani
 
sasa huko kwa TRA ndugu yangu nimajanga bora uwatumie wale maimporter watakusaidia wao watakachofanya ni kukupakia mzigo wako kisha wewe utawapa hela ya ushuru wa bandarini na usumbufu mwingineo watumie hawa HOME SHOPPING CENTRE hawa jamaa hawaana longolongo na charge ni na nafuu kiasi jaribu kuwachunguza uone na kama unataka wewe mwenyewe uclear mzigo wako hebu nenda pale bandarini TPA kajaribu kucunguza charge zao zikoje za kuimport huo mzigo wako

Back
Top Bottom