Vipi boss...msingi wa biashara siku zote epuka hivi vitu boss;
1.Kujikita zaidi katika kuangalia vizuizi,mfano naeza sema umejikita kwa kaizari...TRA.
2.Kujiuliza saaaaaaaaaaaaaana,usihoji sana juu ya biashara unayotaka kufanya bali anza na kiwango kidooogo tu upime yaliyomo,angalizo wakati wa kuanza risk kiasi cha kawaida cha pesa ambacho ikitokea imekula hutapata pressure.
Zaidi...kuwa na taarifa zaidi,kwani hawa woooote Tanzania hii wanaofanya biashara hawamuoni uyo kaizari?yupo lkn tuna komaa umoumo,ingia ngomani!
Mwisho kama unamuogopa saaana kaizari,weka pesa mezani shika remonte ya TV,grass ya juice pembeni na laptop yako,account ikiwa inacheka lkn! kidooogo tu sio kiivo,ukutani na kaizari,mzigo unakufikia apo ndani bila ya wewe kukutana na kaizari ata kwa dakika moja,wewe panga mashambilizi ya mauzo na masoko tu.