coockie monster
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 373
- 724
Hamjambo makamanda?
Nahitaji kujua pale DSE nawezajaze kununua hisa Kwa kuwekeza on stocks mbalimbali kuanzia banks au stock nyengine?
Naomba mdau wa haya mambo anipe maelezo jinsi ya kuwekeza au kutumia brokers. Any information ni muhimu kwangu wadau.