coockie monster
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 373
- 724
Kuna uzi ambao unaotoa elimu ya HISA, jaribu kuutafuta. Una majibu yote unayoyahitaji.Mada za muhimu jf zinaekwa chini hazionekani zinaonekana mada za ajabu ajabu na utani.
Thanks soo muchTafuta brokerage firms za DSE watakupa muongozo.
Nimewasaliana na orbit,Asante sanaTafuta mawakala(madalali) wa Soko la Hisa la Dar Es Salaam kama Orbit securities, Zan securities… wanaaddress zao kwenye social medias zote…watakuelekeza taratibu zote za kufuata….