Msaada wa kupambana na uraibu wa kujichua kupita kiasi

Leo_Edward

Member
Joined
Mar 17, 2025
Posts
9
Reaction score
13
Habari Wanajf

"Nimekuwa nikijichua mara nyingi sana kwa miaka saba iliyopita, nimekua nikifanya hivyo mara kwa mara na kama ikitokea sijajichua basi siwezi kukaa zaidi ya siku mbili kwa week ,hivyo kwa makadirio na mahesabu yangu ninaweza nikawa nimejichua zaidi ya mara 2000 ndani ya miaka 7(7years ×365days =2555 ukitoa siku 168 kama siku za kujicontrol inakuja 2387, lakini hii ni kwa makadirio, maana sometimes naweza kujichua zaidi ya mara 3 kwa siku).

Ninahisi kwamba tabia hii inaathiri sana maisha yangu ya kila siku. Ninahisi aibu, hatia, na wakati mwingine wasiwasi. Inaanza kuathiri mahusiano yangu na hata uwezo wangu wa kuzingatia kazi.

Ninajua kwamba kuna baadhi ya watu wanadhani kujichua ni jambo la kawaida, lakini kwa kiwango hiki, ninahisi inakuwa tatizo. Ninatafuta msaada wa kitaalamu ili kujifunza jinsi ya kudhibiti tabia hii na kupata usawa katika maisha yangu.

Ningependa kujua ikiwa kuna mtu yeyote hapa ambaye amepitia hali kama hii na anaweza kushiriki uzoefu wake. Pia, ningependa kupata ushauri kuhusu jinsi ya kupata msaada wa kitaalamu.

Asante kwa kusikiliza."
 
Tutolee ujinga wako hapa.
 
Endelea tu hakuna madhara

Nilipga nyeto sana,mpaka kuna siku niliwah kupiga nikiwa class,lakin baadae nilijikuta tu nimeacha kupiga kila mara na hata nikisema nipige wazungu wanagoma kutoka

Ila nashukuru nyeto imenipa uwezo wa kucontrol kupiz,yaan naweza kujizuia na kuruhusu pale ninapoona inafaa kutoa,hivyo moto naumwaga hasa pamoja nakuwa nina kibamia lakin kimeshazichubua k nying sana zingine zikiwa mabwawa
 
Hahaha master. Uliwezaje kupiga nyeto class? Uliwezaje watu wasikuone?
 
Muarobaini wa tatizo lako ni huu hapa
👉 Mathayo 11:28-30 "Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi."
 
Habari Wanajf

"Nimekuwa nikijichua mara nyingi sana kwa miaka saba iliyopita, nimekua nikifanya hivyo mara kwa mara na kama ikitokea sijajichua basi siwezi kukaa zaidi ya siku mbili kwa week ,hivyo kwa makadirio na mahesabu yangu ninaweza nikawa nimejichua zaidi ya mara 2000 ndani ya miaka 7(7years ×365days =2555 ukitoa siku 168 kama siku za kujicontrol inakuja 2387, lakini hii ni kwa makadirio, maana sometimes naweza kujichua zaidi ya mara 3 kwa siku).

Ninahisi kwamba tabia hii inaathiri sana maisha yangu ya kila siku. Ninahisi aibu, hatia, na wakati mwingine wasiwasi. Inaanza kuathiri mahusiano yangu na hata uwezo wangu wa kuzingatia kazi.

Ninajua kwamba kuna baadhi ya watu wanadhani kujichua ni jambo la kawaida, lakini kwa kiwango hiki, ninahisi inakuwa tatizo. Ninatafuta msaada wa kitaalamu ili kujifunza jinsi ya kudhibiti tabia hii na kupata usawa katika maisha yangu.

Ningependa kujua ikiwa kuna mtu yeyote hapa ambaye amepitia hali kama hii na anaweza kushiriki uzoefu wake. Pia, ningependa kupata ushauri kuhusu jinsi ya kupata msaada wa kitaalamu.

Asante kwa kusikiliza."
Nafikiri Kila mtu Duniani amewahi kupiga nyeto. Hivyo ni kawaida.
 
Hahaha master. Uliwezaje kupiga nyeto class? Uliwezaje watu wasikuone?
tUlikuwa tunatumia vile viti vilivyounganishwa na kasehem kakuandikia
Hahaha master. Uliwezaje kupiga nyeto class? Uliwezaje watu wasikuone?
download.jpeg

Mimi huwa napiga nyeto bila kirainishi
 
Habari Wanajf

"Nimekuwa nikijichua mara nyingi sana kwa miaka saba iliyopita, nimekua nikifanya hivyo mara kwa mara na kama ikitokea sijajichua basi siwezi kukaa zaidi ya siku mbili kwa week ,hivyo kwa makadirio na mahesabu yangu ninaweza nikawa nimejichua zaidi ya mara 2000 ndani ya miaka 7(7years ×365days =2555 ukitoa siku 168 kama siku za kujicontrol inakuja 2387, lakini hii ni kwa makadirio, maana sometimes naweza kujichua zaidi ya mara 3 kwa siku).

Ninahisi kwamba tabia hii inaathiri sana maisha yangu ya kila siku. Ninahisi aibu, hatia, na wakati mwingine wasiwasi. Inaanza kuathiri mahusiano yangu na hata uwezo wangu wa kuzingatia kazi.

Ninajua kwamba kuna baadhi ya watu wanadhani kujichua ni jambo la kawaida, lakini kwa kiwango hiki, ninahisi inakuwa tatizo. Ninatafuta msaada wa kitaalamu ili kujifunza jinsi ya kudhibiti tabia hii na kupata usawa katika maisha yangu.

Ningependa kujua ikiwa kuna mtu yeyote hapa ambaye amepitia hali kama hii na anaweza kushiriki uzoefu wake. Pia, ningependa kupata ushauri kuhusu jinsi ya kupata msaada wa kitaalamu.

Asante kwa kusikiliza."
Kwanza kubali na kuwa tayari kuacha..epuka kukaa mwenyew always tafuta company Kwa wadau, usitumie muda mrefu ukiwa chooni au bafuni hasa bafuni sometimes usivue nguo zote oga na boxer mwishowe fua boxer ukizingatia kutokaa muda mrefu bafuni,

Mwisho na ndo njia pekee ikikushinda na hii Kila la kheri,

Jiwekee utaratibu wa kufunga mara Kwa mara angalau siku 5-7. Itakufanya uwe karibu na Mungu na kuwa na hofu ya kufanya huo mchezo mchafu wa kishetani.
All the best
 
Mimi niliacha baada ya kuanza kuona madhara live bila chenga nilikuwa nashindwa kupiga game kabisa na vyakula lishe nilikuwa nazingatia hasa

One day nilipata pic moja matata sana ndo hivyo nilishindwa kupiga game nilifadhaika sana mbele ya pic na haikutokea mara 1 ni mara kadhaa ila kuna tatizo moja kubwa lilianza kunipata hapo ndo nilianza kupata wenge nimeathirika, niliacha kabisa huo mchezo nikaoa mpaka now maisha yanaendelea
 
Ukweli ni kwamba ku sex ni jambo la lazima kwa Kila mtu kama ilivyo kuvaa nguo . Hivyo unapokosa hili tendo lazima ukimbilie kujichua .
Suluhisho la kudumu ni kutafuta mke wa kuishi nawe.
Asante sana kwa ushauri wako. Ninathamini mtazamo wako na unavyoelezea mambo. Pia ninathamini unavyosisitiza umuhimu wa kuwa na uhusiano wa kudumu .Nashukuru kwa ushauri wako.
Nimezingatia ulichosema
 
Muarobaini wa tatizo lako ni huu hapa
👉 Mathayo 11:28-30 "Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi."
Asante sana kwa ujumbe huu mzuri na wenye faraja. Nimeguswa sana na maneno haya. Ninashukuru kwa kunionyesha njia ya kupata pumziko na amani ya moyo.
pia Nitachukua muda kutafakari maneno haya na kujaribu kuyaelewa kwa undani zaidi.Nitajaribu kuyaingiza katika maisha yangu ya kila siku na kuona jinsi yanavyoweza kunisaidia.
 
Kwanza kubali na kuwa tayari kuacha..epuka kukaa mwenyew always tafuta company Kwa wadau, usitumie muda mrefu ukiwa chooni au bafuni hasa bafuni sometimes usivue nguo zote oga na boxer mwishowe fua boxer ukizingatia kutokaa muda mrefu bafuni,

Mwisho na ndo njia pekee ikikushinda na hii Kila la kheri,

Jiwekee utaratibu wa kufunga mara Kwa mara angalau siku 5-7. Itakufanya uwe karibu na Mungu na kuwa na hofu ya kufanya huo mchezo mchafu wa kishetani.
All the best
Asante sana kwa ushauri wako wa kina na wa busara. Nimeguswa sana na kujitolea kwako kunisaidia katika hili. Ninathamini sana kila neno ulilosema, na ninaamini kwamba ushauri huu unaweza kuwa msaada mkubwa kwangu.
 
Back
Top Bottom