Msaada wa kupambana na uraibu wa kujichua kupita kiasi

Msaada wa kupambana na uraibu wa kujichua kupita kiasi

Mimi niliacha baada ya kuanza kuona madhara live bila chenga nilikuwa nashindwa kupiga game kabisa na vyakula lishe nilikuwa nazingatia hasa

One day nilipata pic moja matata sana ndo hivyo nilishindwa kupiga game nilifadhaika sana mbele ya pic na haikutokea mara 1 ni mara kadhaa ila kuna tatizo moja kubwa lilianza kunipata hapo ndo nilianza kupata wenge nimeathirika, niliacha kabisa huo mchezo nikaoa mpaka now maisha yanaendelea
Nimeulewa vizuri ujumbe wako , mbali na changamoto iliyokukuta ambayo ilikua kama msukumo mkubwa kwako wa kuacha tabia hiyo ,je mbinu gani ulizitimia kuacha kabisa tabia hiyo.
 
Habari Wanajf

"Nimekuwa nikijichua mara nyingi sana kwa miaka saba iliyopita, nimekua nikifanya hivyo mara kwa mara na kama ikitokea sijajichua basi siwezi kukaa zaidi ya siku mbili kwa week ,hivyo kwa makadirio na mahesabu yangu ninaweza nikawa nimejichua zaidi ya mara 2000 ndani ya miaka 7(7years ×365days =2555 ukitoa siku 168 kama siku za kujicontrol inakuja 2387, lakini hii ni kwa makadirio, maana sometimes naweza kujichua zaidi ya mara 3 kwa siku).

Ninahisi kwamba tabia hii inaathiri sana maisha yangu ya kila siku. Ninahisi aibu, hatia, na wakati mwingine wasiwasi. Inaanza kuathiri mahusiano yangu na hata uwezo wangu wa kuzingatia kazi.

Ninajua kwamba kuna baadhi ya watu wanadhani kujichua ni jambo la kawaida, lakini kwa kiwango hiki, ninahisi inakuwa tatizo. Ninatafuta msaada wa kitaalamu ili kujifunza jinsi ya kudhibiti tabia hii na kupata usawa katika maisha yangu.

Ningependa kujua ikiwa kuna mtu yeyote hapa ambaye amepitia hali kama hii na anaweza kushiriki uzoefu wake. Pia, ningependa kupata ushauri kuhusu jinsi ya kupata msaada wa kitaalamu.

Asante kwa kusikiliza."
Nadhani ni kuamua tu na kuacha.
Lakini solution sahihi zaidi ni kuoa, ili ukihitaji tu unamwambia mwenza wako. Wewe ni jinsia gani?
 
Ukweli ni kwamba ku sex ni jambo la lazima kwa Kila mtu kama ilivyo kuvaa nguo . Hivyo unapokosa hili tendo lazima ukimbilie kujichua .
Suluhisho la kudumu ni kutafuta mke wa kuishi nawe.
Sahihi,mapadri wameshindwa sisi tuweze tuna nini
 
Nyeto mara tatu kwa siku ndo unaona ina madhara?
Mm nshapiga nyeto mpaka mboo ikabadilika rangi ikawa ya kijani na bado mpaka sasa napiga, nna miaka 33 ila huu ni mwaka wa mwaka wa 31 napiga nyeto.
 
Nyeto mara tatu kwa siku ndo unaona ina madhara?
Mm nshapiga nyeto mpaka mboo ikabadilika rangi ikawa ya kijani na bado mpaka sasa napiga, nna miaka 33 ila huu ni mwaka wa mwaka wa 31 napiga nyeto.
Ukipata pisi unapiga paipu flesh au nguvu za kiume huna?
 
Nyeto mara tatu kwa siku ndo unaona ina madhara?
Mm nshapiga nyeto mpaka mboo ikabadilika rangi ikawa ya kijani na bado mpaka sasa napiga, nna miaka 33 ila huu ni mwaka wa mwaka wa 31 napiga nyeto.
Kuna kitu nimeshindwa kukielewa una miaka 33 na umepiga nyeto kwa miaka 31 ,how ?inamanisha umeanza kufanya hivyo ukiwa na miaka 2 au?
 
Nadhani ni kuamua tu na kuacha.
Lakini solution sahihi zaidi ni kuoa, ili ukihitaji tu unamwambia mwenza wako. Wewe ni jinsia gani?
Ushauri wako nimeuelewa ,nitahakikisha naufanyia kazi,pia nakushukuru sana kwa ushauri wako mzuri, umenitia moyo na kunifanya nizidi kuona kuepukana na tatizo langu kitu ambacho kinawezekana
Jinsia yangu ni Me(mwanaume)
 
Mzehe mimi nilikuwa kama wewe. Nilikuwa nikizidi sana week tatu nashtua.
Kuacha ni rahisi sana. Kitendo cha kujua tu uhitaji punyeto inatosha kabisa kufanya ufanye uache.

Wengi huwa tunashindwa kwa sababu tutaamini tunaacha kitu kinachotupa starehe kwa stahili huwezi kuacha.
Hizi nyeto, porn zinakutengenezea illusion uone kwamba wewe unazihitaji sana. Lakini kihuharisia wewe huitaji nyeto na ndio maana baada ya kujichua unajilaumu sana.
Inabidi uienjoy kuacha punyeto kwa sababu haina faida yeyote. Ukiona ina faida ujue hizo faida umezitengeza wewe mwenyewe. Amua tu kuacha, enjoy mchakato mzima wa kuacha na utaacha hutaamini.
 
Habari Wanajf

"Nimekuwa nikijichua mara nyingi sana kwa miaka saba iliyopita, nimekua nikifanya hivyo mara kwa mara na kama ikitokea sijajichua basi siwezi kukaa zaidi ya siku mbili kwa week ,hivyo kwa makadirio na mahesabu yangu ninaweza nikawa nimejichua zaidi ya mara 2000 ndani ya miaka 7(7years ×365days =2555 ukitoa siku 168 kama siku za kujicontrol inakuja 2387, lakini hii ni kwa makadirio, maana sometimes naweza kujichua zaidi ya mara 3 kwa siku).

Ninahisi kwamba tabia hii inaathiri sana maisha yangu ya kila siku. Ninahisi aibu, hatia, na wakati mwingine wasiwasi. Inaanza kuathiri mahusiano yangu na hata uwezo wangu wa kuzingatia kazi.

Ninajua kwamba kuna baadhi ya watu wanadhani kujichua ni jambo la kawaida, lakini kwa kiwango hiki, ninahisi inakuwa tatizo. Ninatafuta msaada wa kitaalamu ili kujifunza jinsi ya kudhibiti tabia hii na kupata usawa katika maisha yangu.

Ningependa kujua ikiwa kuna mtu yeyote hapa ambaye amepitia hali kama hii na anaweza kushiriki uzoefu wake. Pia, ningependa kupata ushauri kuhusu jinsi ya kupata msaada wa kitaalamu.

Asante kwa kusikiliza."
nilijua labda kuna shida uwa unapata ukitonyeka ila sijaiona kwenye maelezo yako. mm sioni shida ya tonye. watu wanapiga tonye na akija dem anapelekewa moto vilevile. wewe endelea kula tonye ila iwe kwa wastani kwa ustawi wa kibunda chako maana madem wenyewe hawa nao hawaeleweki sikuhizi si umeshaskia yaliyomkuta manara uko
 
Jaribu hii...

Ichukulie Punyeto kama opponent wako, na hakikisha hakushindi.
Yaani ukiipiga ni umefeli ila ukimaliza siku hujaipiga wewe ni mshindi.

Jiwekee kipimo kuwa lazima umfunge opponent wako goal 3. Yaani goli 1 ni sawa na mwezi mmoja.
Hakikisha unakula vyakula vitakavyokupa ushawishi kama karanga, nazi na vinginevyo ili mpambano uwe mkali.

Matokeo:
Ukifanikiwa kumfunga goal 3. Utakuwa katika flatline.. ambapo kipindi hiki utaona wanaopiga nyeto ni mafala tu.
Baada ya muda kidogo upwiru utarejea kwa kasi ya nguvu. Pambana tena. Ukifanikiwa hapa. Utakuwa kama wengine walioacha.

Ona aibu kujichua. Hivi jitu zima kama wewe unajichezea nyeti zako na watoto wafanyaje?
 
Back
Top Bottom