Msaada wa kupata chuo cha afya

Msaada wa kupata chuo cha afya

Duh watu bado mna moyo wa kusoma hayo madude. Mh, kazana kaka
 
Ndugu wana JF,,
Naomba kupata msaada wenu kuhusu vyuo vya serikali vinavyotoa diproma ya afya(Crinical Officer) hapa Tanzania.Kuhusu ufahulu wangu nilimaliza form six mwaka jana nina div (ii) ya 12 nilichaguliwa UDSM kusoma Education ila sikuweza kwenda kwani niliona hiyo fan hainifahi nikaamua nitulie mtaani nisubilie niweze kupata ile kitu roho inapenda.....kuhusu kuapply mwaka nina mpango mda ukifika kujarib bahati ya Doctor of Medicine...NSAADA WENU JAMAN:A S thumbs_up:

hakunaga diproma, pia hakuanaga crinical officer
 
hakunaga diproma, pia hakuanaga crinical officer

mbona cbg unaenda koz nying sana kwa pass yako hyo me mwenyew nmesoma hyo but napga pharmacy doctor
kwa chuo cha clinical nenda mvumi cotc wako ok xana
 
Back
Top Bottom