stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Ki-vipi Mkuu?
we kabila gani kwani mbona kiswahili chako kibovu sana!!
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ki-vipi Mkuu?
kaka nilitumia pc yake kupost ila co huyo wa SUA...Mtumish SUA vipi, we si ulisema uko SUA.
Vp kuhusu haro zao hao jamaaNenda znz college of health science
Ndugu wana JF,,
Naomba kupata msaada wenu kuhusu vyuo vya serikali vinavyotoa diproma ya afya(Crinical Officer) hapa Tanzania.Kuhusu ufahulu wangu nilimaliza form six mwaka jana nina div (ii) ya 12 nilichaguliwa UDSM kusoma Education ila sikuweza kwenda kwani niliona hiyo fan hainifahi nikaamua nitulie mtaani nisubilie niweze kupata ile kitu roho inapenda.....kuhusu kuapply mwaka nina mpango mda ukifika kujarib bahati ya Doctor of Medicine...NSAADA WENU JAMAN:A S thumbs_up:
hakunaga diproma, pia hakuanaga crinical officer