Ndugu wapendwa nawasalim!!!!!
Tumepata tatizo kwenye familia kaka yetu amegundulika na ugonjwa wa cancer, amekuwa ana patwa na maumivu makali na kukata tamaa ya kuishi. Jana nimeona kwenye vyombo vya habari AZAM TV na magazetini wameripoti kuna dawa imegunduliwa huko Marekani ambayo imetibu wagonjwa wote waliopatiwa na kuwaponya.
Naomba kwa mtu yeyote mwenye kujuwa jinsi ya kuipata hii dawa ili tumpatie jamaa yetu aweze kuepuka kifo kinachotokana na gonjwa hili. Msaada tafadhali