Kifo hakiepukiki kiongoz, siku yako iliopangwa Ikiwadia unaondoka tu,cha msingi tafuta dawa na kumuomba mungu upone lkn sio aepuke kifo, hakuna dawa ya kukuepusha na kifo.Ndugu wapendwa nawasalim!!!!!
Tumepata tatizo kwenye familia kaka yetu amegundulika na ugonjwa wa cancer, amekuwa ana patwa na maumivu makali na kukata tamaa ya kuishi. Jana nimeona kwenye vyombo vya habari AZAM TV na magazetini wameripoti kuna dawa imegunduliwa huko Marekani ambayo imetibu wagonjwa wote waliopatiwa na kuwaponya.
Naomba kwa mtu yeyote mwenye kujuwa jinsi ya kuipata hii dawa ili tumpatie jamaa yetu aweze kuepuka kifo kinachotokana na gonjwa hili. Msaada tafadhali
Pole sana ndugu ,ingekua vizuri ungetembelea hospital za cancer kama ocean road ni rahisi wao kua na hizi taarifa na access ya kupata hizo dawa unazoziongeleaNdugu wapendwa nawasalim!!!!!
Tumepata tatizo kwenye familia kaka yetu amegundulika na ugonjwa wa cancer, amekuwa ana patwa na maumivu makali na kukata tamaa ya kuishi. Jana nimeona kwenye vyombo vya habari AZAM TV na magazetini wameripoti kuna dawa imegunduliwa huko Marekani ambayo imetibu wagonjwa wote waliopatiwa na kuwaponya.
Naomba kwa mtu yeyote mwenye kujuwa jinsi ya kuipata hii dawa ili tumpatie jamaa yetu aweze kuepuka kifo kinachotokana na gonjwa hili. Msaada tafadhali
Kifo hakiepukiki kiongoz, siku yako iliopangwa Ikiwadia unaondoka tu,cha msingi tafuta dawa na kumuomba mungu upone lkn sio aepuke kifo, hakuna dawa ya kukuepusha na kifo.
ni cancer ya mifupa ndugu yangu!Cancer ya ini ama Koo au utumbo
Poleni mkuu, meanwhile wakati mnatafuta hiyo tiba iliyogundulika mnaweza mkatumia tiba ya asili.Ndugu wapendwa nawasalim!!!!!
Tumepata tatizo kwenye familia kaka yetu amegundulika na ugonjwa wa cancer, amekuwa ana patwa na maumivu makali na kukata tamaa ya kuishi. Jana nimeona kwenye vyombo vya habari AZAM TV na magazetini wameripoti kuna dawa imegunduliwa huko Marekani ambayo imetibu wagonjwa wote waliopatiwa na kuwaponya.
Naomba kwa mtu yeyote mwenye kujuwa jinsi ya kuipata hii dawa ili tumpatie jamaa yetu aweze kuepuka kifo kinachotokana na gonjwa hili. Msaada tafadhali
tumeambiwa ya kwake ipo stage four!hiyo saratani hipo staji gani !.
saratani inatibika kama ukiwahi ila watu wengi tabia za kupima mwili magonjwa haya sio rahisi sana.
tuwe tunapenda kila baada ya miezi kupima kama tuna viashiria vya saratani ili kuzibit
tumeambiwa ya kwake ipo stage four!
Poleni sana, haya matatizo inabidi kuyawahi mapema.tumeambiwa ya kwake ipo stage four!
Ungesoma vzuri hoja ya mlta mada, mwisho wa maelzo yake amesema kabisa kuwa "apewe dawa aepuke kifo" hapo ikawa msingi wa mchango wangu,any way ikiwa mleta mada atakwazika "naomba radhi " Na nimpe pole Allah atampa shifaa.Kama hukuwa na jibu ni bora ungekaa kimya. Fikiria wewe au ndugu yako apewe ushauri kama huu, siyo sawa. Tunajua kifo kipo na kila mtu atakufa, kama nia ingekuwa ni kuepuka kifo basi Mungu asingetupa ufahamu wa dawa, haina tofauti na kujiua. Na wewe ukiumwa usinywe dswa, funga, sali muombe Mungu akuponye..
tunashukuru sana kwa mchango wako tutatumia na tunategemea ndugu yetu atapona kwa uwezo wa allahPoleni sana, haya matatizo inabidi kuyawahi mapema.
Kuna post nimeiweka hapo juu, hiyo ni tiba kweli na sio masikhara na itampa nguvu kwa ujumla. Kwa hatua iliyofika sio nzuri ila jaribuni kufanya hilo.
Ungesoma vzuri hoja ya mlta mada, mwisho wa maelzo yake amesema kabisa kuwa "apewe dawa aepuke kifo" hapo ikawa msingi wa mchango wangu,any way ikiwa mleta mada atakwazika "naomba radhi " Na nimpe pole Allah atampa shifaa.
Mkuu pole sana kwa kaka yenu kw amaradhi yake ya Cancer .huwezi kuipata hiyo toka amerika ila ukitaka tiba ya kumtibu kaka yako nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibu maradhi yake .Ndugu wapendwa nawasalim!!!!!
Tumepata tatizo kwenye familia kaka yetu amegundulika na ugonjwa wa cancer, amekuwa ana patwa na maumivu makali na kukata tamaa ya kuishi. Jana nimeona kwenye vyombo vya habari AZAM TV na magazetini wameripoti kuna dawa imegunduliwa huko Marekani ambayo imetibu wagonjwa wote waliopatiwa na kuwaponya.
Naomba kwa mtu yeyote mwenye kujuwa jinsi ya kuipata hii dawa ili tumpatie jamaa yetu aweze kuepuka kifo kinachotokana na gonjwa hili. Msaada tafadhali
Waone longlife T LTD wanaweza kukusaidia. Au ingia hapa ukifunze mengi kuhusiana na hio dawa.Ndugu wapendwa nawasalim!!!!!