Msaada wa kupata dawa hizi za Genital Warts

Ushauri wangu
1.ijue serostatus yako kwanza....pima HIV
2.kama lesions ziko nyingi....shauriana na daktari wako wakufanyie kitu inaitwa electrocautery under LA
3.podophylline na silver nitrate may take years to remove those warts. ...labda kama ni viko vichache sanaaa...
4. Ungerudi kwa daktari wako kwa mashauriano zaidi
Mkuu aje kwako kabisa umsaidie kuremove hizo warts za shemeji zinakatisha tamaa sana kama hujawahi kuziona unaweza kimbia uyoga ule sio poleni sana
 
Naomba unicheck inbox haraka maana kuandika ni maelezo marefu
 
Habari za maisha?

Nilimpeleka mke wangu hospitali hivi karibuni. Alikua na vipele vidogo vidogo pembeni na kwa ndani ya sehemu zake za siri. Kabla hatujaenda hospital tuli-google kidogo tunajua ni Genital Warts au Pearly Penile Papules (PPP). Tulipofika kwa wataalamu wakampima na wakasema ni Genital Warts za mwanzoni maana alikutwa na HPV virus +ve.

Tukaandikiwa dawa hizi tatu tukazitafute:

  1. Cobdilox Podofilox Gel 0.5%
  2. Salicyclic acid na
  3. Silver Nitrate

Mtaalamu alisema moja kati ya izo dawa itamsaidia.

Tumezunguka sana hapa mjini maduka makubwa makubwa ila hadi sasa hatujapata. Mtaalamualisema iyo ya kwanza ndio best ila hadi sasa tumekosa. Kwa sasa tunatumia dawa ya Diplosalic Oinunent ina mchanganyiko wa Betamethasone Dipropionate na Salicyclic Acid. Tumeitumia hii ndio tuliyoipata pharmacy kwakua ina Salicyclic Acid kamaalivoagiza mtaalamu.

Naomba msaada ambae anaweza kutusaidia wapi tunaweza ipata hiyo dawa. Na pia kama kuna mtu ana ujuzi zaidi wa huu ugonjwa anaweza kutupatia ushauri zaidi. Asanteni.

Nenda pale posta duka la mansoor daya azikiwe/samora
Utapata podophyllin
Hiyo diprosalic haiwezi kumsaidia hata kidogo
Silver nitrate pencil nenda nakiete-mwenge
Hiyo genital warts ipo kwa wingi kiasi gani?...
Ni vema ukamuona gynecologist atakusaidia huwa zinachomwa na diathermy
Warts ni mbaya sana chance ya relapse ni kubwa
 
Mimi sio mtaharam wa hya madude. So nitakuelezea juu juu.

Mi nilshakuwa nazo. Na nilifanya googling na nikagundua kuwa huu ugonjwa wasababishwa na ukosefu wa vtamin c. Yan kinga ambazo huweza zuia HPV virus.

Niligundua pia sio ugonjwa wa kutibu hapo hapo ukapona. Warts huchukua muda kupotea.

Inaweza chukua hata mwaka.

Mi nilichofanya nilitumia kitunguu swaumu. Yani nilianzisha tabia ya kutafna kitunguu swaumu kila siku. Yani baada ya kupiga tu mswaki nachukua kitunguu hata vipic vitatu natafna.

Haikuchukua muda. Nikaona warts zinapotea zenyewe tena kwa kasi sana.

Mimi zilkuwa zimeota kwenye pumbu
Mimi ziluchukua miaka 5..kitu kilichonisaidia ckuamin had leo..dah vry trouble some
 
Jamani tusaidiane huo ugonjwa unasababishwa na nn na kuna uwezekano wa kuambukizwa?
 
Habari za maisha?

Nilimpeleka mke wangu hospitali hivi karibuni. Alikua na vipele vidogo vidogo pembeni na kwa ndani ya sehemu zake za siri. Kabla hatujaenda hospital tuli-google kidogo tunajua ni Genital Warts au Pearly Penile Papules (PPP). Tulipofika kwa wataalamu wakampima na wakasema ni Genital Warts za mwanzoni maana alikutwa na HPV virus +ve.

Tukaandikiwa dawa hizi tatu tukazitafute:

  1. Cobdilox Podofilox Gel 0.5%
  2. Salicyclic acid na
  3. Silver Nitrate

Mtaalamu alisema moja kati ya izo dawa itamsaidia.

Tumezunguka sana hapa mjini maduka makubwa makubwa ila hadi sasa hatujapata. Mtaalamualisema iyo ya kwanza ndio best ila hadi sasa tumekosa. Kwa sasa tunatumia dawa ya Diplosalic Oinunent ina mchanganyiko wa Betamethasone Dipropionate na Salicyclic Acid. Tumeitumia hii ndio tuliyoipata pharmacy kwakua ina Salicyclic Acid kamaalivoagiza mtaalamu.

Naomba msaada ambae anaweza kutusaidia wapi tunaweza ipata hiyo dawa. Na pia kama kuna mtu ana ujuzi zaidi wa huu ugonjwa anaweza kutupatia ushauri zaidi. Asanteni.
Usipo pona kwa dawa za hospitali nitafute kwa wakati wako nipate kumtibia mke wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Sawa mkuu, nitafanya hivyo nikiona huku hamna msaada.
 
Hizo warts utakuwa ulizotoa hapa JF na kwenda kumwambukiza mke wako!!🙂🙂🙂........Mungu anakuona[emoji30]!....Wake zetu wapendwa tusameheni kwa mabaya tunayowafanyieni!
 
Pole sana. Mimi sio mtaalamu lakini nitakuelewesha kidogo...
Kwanza sijajua upo wapi, ila kama upo Dar basi hiyo Silver Nitrate na cobdilox podolox gel 0.5% inapatikana.

Salicylic Acid zipo za percentage mbalimbali, lakini kwa Tanzania huwezi kuipata popote isipokuwa kwenye hospitali ya KCMC kule Moshi maana pale wana kitengo kikubwa sana cha magonjwa ya ngozi na Zinaa kwa ukanda wa Africa Mashariki na kati, na hiyo dawa inatengenezwa pale pale kwa matumizi ya wagonjwa wanaotibiwa kwenye kitengo chao tu.

Kwa hiyo kitu iliyompata mkeo, silver Nitrate haitasaidia sana......

Na hiyo ya Cobdilox Podolox gel 0.5% ni nzuri na inatibu lakini hairuhusiwi kwa mwanamke mjamzito.
 
Poleni sana!!!

Hospitali yenyewe imekosa hizo dawa??? Jaribu kumfuata daktari akusaidie wapi unaweza pata... Hawezi kukuandikia dawa hisiyopatikana.
Wengine huwa wanagoogle dawa then anakuandikia kitu wanachotumia huko nchi za watu ambacho hata kwny market ya bongo hakijasajiliwa bado...
Ikikukuta hiyo utapuyanga nchi nzma hutakaa uipate
 
Nenda ShopperS Plaza ya Masaki ndani kuna pharmacy, pale hukosi!
 
Wengine huwa wanagoogle dawa then anakuandikia kitu wanachotumia huko nchi za watu ambacho hata kwny market ya bongo hakijasajiliwa bado...
Ikikukuta hiyo utapuyanga nchi nzma hutakaa uipate
Wanachofanya siyo fair kabisa
 
Habari za maisha?

Nilimpeleka mke wangu hospitali hivi karibuni. Alikua na vipele vidogo vidogo pembeni na kwa ndani ya sehemu zake za siri. Kabla hatujaenda hospital tuli-google kidogo tunajua ni Genital Warts au Pearly Penile Papules (PPP). Tulipofika kwa wataalamu wakampima na wakasema ni Genital Warts za mwanzoni maana alikutwa na HPV virus +ve.

Tukaandikiwa dawa hizi tatu tukazitafute:

  1. Cobdilox Podofilox Gel 0.5%
  2. Salicyclic acid na
  3. Silver Nitrate

Mtaalamu alisema moja kati ya izo dawa itamsaidia.

Tumezunguka sana hapa mjini maduka makubwa makubwa ila hadi sasa hatujapata. Mtaalamualisema iyo ya kwanza ndio best ila hadi sasa tumekosa. Kwa sasa tunatumia dawa ya Diplosalic Oinunent ina mchanganyiko wa Betamethasone Dipropionate na Salicyclic Acid. Tumeitumia hii ndio tuliyoipata pharmacy kwakua ina Salicyclic Acid kamaalivoagiza mtaalamu.

Naomba msaada ambae anaweza kutusaidia wapi tunaweza ipata hiyo dawa. Na pia kama kuna mtu ana ujuzi zaidi wa huu ugonjwa anaweza kutupatia ushauri zaidi. Asanteni.
Kaka kama upo Dar nenda salama pharmacy iliyopo mlimani city,ulizia dawa inaitwa bazuuka,ni nzuri mno,siku tatu warts zote zitapotea
 
Nimefurahia jinsi wataalamu walivyijitoa kutoa ushauri
 
Back
Top Bottom