MREJESHO
Ingawa ni kitambo kimepita tokea niombe ushauri, ila kuna mdau kanikumbusha inbox ni vizuri nilete mrejesho ili iwe msaada kwa wengine.
Nilipata dawa inaitwa Podofilox Gel 0.5% kama upo Dar es Salaam utaipata Posta duka la wahindi linaitwa Mansoor Daya lipo Azikiwe/Samora.
Wanauza Tsh 10,000 au 20,000 kutokana na ujazo ila zote ni sawa. Ata ukitumia ujazo mdogo itabaki chenji maana mke alitumia siku 5 tu hadi leo mzima kabisa na havijarudi tena huu mwezi wa 5 sasa.
Asanteni sana kwa ushauri.