Lionel s
Member
- Mar 9, 2017
- 48
- 38
Sio lazimaHuu ni ugonjwa wa ngono (STI) so waambukizwa kwa ngono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazimaHuu ni ugonjwa wa ngono (STI) so waambukizwa kwa ngono
Unaijua aple cider vineger??Tunaomba msaada ni kitu gani mkuu,
Shukran kwa mrejeshoMREJESHO
Ingawa ni kitambo kimepita tokea niombe ushauri, ila kuna mdau kanikumbusha inbox ni vizuri nilete mrejesho ili iwe msaada kwa wengine.
Nilipata dawa inaitwa Podofilox Gel 0.5% kama upo Dar es Salaam utaipata Posta duka la wahindi linaitwa Mansoor Daya lipo Azikiwe/Samora.
Wanauza Tsh 10,000 au 20,000 kutokana na ujazo ila zote ni sawa. Ata ukitumia ujazo mdogo itabaki chenji maana mke alitumia siku 5 tu hadi leo mzima kabisa na havijarudi tena huu mwezi wa 5 sasa.
Asanteni sana kwa ushauri.